Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

Mimi nasema , mama alianza kutusaliti watanzania na Tanesco yenyewe baada tu ya kumuondoa Dr kalemani na kumuweka Makamba.
Siasa zimechangia kwa kiasi kikubwa kupoteza watendaji wazuri ambao wangeweza kumsaidia mama badala yake anajikutwa amezungukwa na madafu koroma.
 
Hamna haja ya Link ila awamu hii sio siri tumepatkana mkuu
hakuna mwaka umeme uilikuwa na afadhali, magu wako huyo hapo

Ukija katika suala la nishati ya mafuta hasa petroli na dizeli ambalo lilileta changamoto mwaka jana .ningependa napo kukujibu ya kuwa siyo serikali ya Rais Samia Ambayo ilikuwa imesababisha changamoto hiyo.kwanza ifahamike na kueleweka ya kuwa sisi hatuna visima vya mafuta wala hatuzalishi mafuta.

Tunategemea mafuta kutoka nje ya nchi ambako yanapangwa bei huko huko. Ambapo mwaka jana nahata mwaka juzi kulitokea mfumuko wa bei ya mafuta ambao kwa kiasi kikubwa ulitokana na nchi wazalishaji wa mafuta kupunguza uzalishaji wa mafuta na hivyo kupelekea upungufu wa mafuta na kupaa kwa bei .lakini pia vita ya ukrein nayo kwa kiasi kikubwa iliathiri sana bei ya mafuta katika soko la Dunia .

Ambapo hatua za haraka zilichukuliwa na serikali yetu katika kukabiliana na hali hiyo ambayo ilikuwa na maumivu makali kwa mwananchi.ambapo serikali ilianza kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika mafuta.hali iliyopelekea mafuta kushuka bei ukilinganisha na nchi majirani na hivyo kuzuia mfumuko wa bei katika bidhaa zingine,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa mafuta ndio injini ya uchumi.
Mkuu kuusu mafuta naomba umsikilize huyu mbunge hap

View: https://youtu.be/eS9daUepAEY?si=MJoqyhqsrtLGRjLM
 
Mkuu kuusu mafuta naomba umsikilize huyu mbunge hapa

Mkuu sikiliza hii clip

1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond.

2. Tatizo hili limedumu kwa miongo mitatu na ushee sasa. Lugha na staili ya kulitatua ni ileile ambayo mtu makini akichunguza hataona nia ya kweli ya kutatua zaidi ya viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kama fursa ya kupiga pesa (kufanya ufisadi) huku nchi na wananchi wakitaabika Kwa uchumi wao mdogo kujeruhiwa na wengine kufa kabisa..

Haiwezekani tatizo dogo kama hili la umeme lidumu kwa zaidi ya miaka 35 huku serikali kongwe ya CCM ikiwa madarakani kwa miaka 63+ tangu 1961 ikiwa imeshindwa kupata ufumbuzi wa kudumu kiasi cha watu kujiuliza wanafanya nini ofisini kama hawatumii vichwa vyao vyema kufikiri?

Swali kuu la kujiuliza ni; Je, ina maana nchi hii haina watu wenye akili wanaoweza kufikiri vyema na kuja na Suluhu ya kudumu kuondoa tatizo hili? Kama wapo, kikwazo ni nini?

Hebu nyie chawa wa mama, wana CCM kindandaki kina Lucas mwashambwa, Paul Makonda, ChoiceVariable chiembe, FaizaFoxy, MamaSamia2025, Tlaatlaah Pascal Mayalla na wengine hebu tupeni maelezo tuwaelewe..!!

3. Wakati wa utawala John P. Magufuli (2015 - mwanzoni mwa 2021), kulikuwa na mwanga kidogo wa uelekeo kutatuliwa kwa changamoto hii. Huyu Mzee alianzisha mradi mkubwa wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme ktk maporomoko ya Stigler Gorge yaliyopo katika mto Rufiji mkoa wa Pwani. Mradi huo umepewa jina Julius Kambarage Nyerere Hydro Electric Power Station (JKNHP)..

4. Pamoja na kuanzishwa kwa mradi huu, wakati wote wa u - Rais wa John P. Magufuli (2015 - 2021), hakukuwa na mgawo wa umeme kabisa ulio rasmi nchi nzima na kiasi cha kudumu kwa muda mrefu. Kama kulikuwa na kukatika umeme, basi ilikuwa ni kwa sbb za kiufundi na kwa muda mfupi tu..

John P. Magufuli alikuwa na ubaya wake. Lakini ktk eneo hili pamoja uchumi alifanya vyema sana. Mimi nampa maua yake🌹🌹🌹huko alikohifadhiwa...

5. Cha kushangaza, Mara baada ya kifo Cha Magufuli na nchi kutwaliwa na Makamu wake kikatiba, ghafla everything turned upside down. Maisha yakawa magumu. Thamani ya shilingi ikaporomoka kwa kasi. Mafuta ya petrol yakapaa kupita kiasi ktk muda mfupi sana ikiwemo kuadimika. Ghafla tatizo la umeme likaanza na linadumu hadi sasa..

Tunajiuliza kulikoni? Mbona lilishatatuliwa na Rais Magufuli imekuwaje ghafla linaanza tena? Bila shaka huu ni mchezo mbaya wa serikali kuhujumu wananchi wake wenyewe..!

Cha kushangaza ni kuwa huyu Rais anaonesha wazi kuwa hajali na hajui taabu wanayokumbana nayo wananchi. Yuko bize kukata mitaa huko duniani. Ameshindwa kabisa kuonesha uongozi katika haya. Madume aliyoyateua mwenyewe yanatumia udhaifu wake wa kuwa mwanamke kumhujumu. Yakitaka kuiba, yanampangia safari kwenda ughaibuni kutembea. Kuna siku yatampangia ziara kwenda Somalia kuomba msaada🙄🤔 ili mradi tu yapate mwanya wa kupiga..!

Tunataka serikali ituambie shida ya hii kitu iko wapi? Mbona tatizo ni la miongo zaidi ya mitatu? Kama CCM mmeshindwa kutatua, mnafanya nini kwenye ikulu yetu???
Magufuli hakuwa ni kipenzi cha CCM ndo maana hakuna lolote kumhusu wakamuongelea kwa uchanya....

Umeme na taabu zetu siyo kipaumbele cha CCM, wao wapo bize kustawisha usultani wao na familia zao waendelee kutawala ndo maana miswada yote wanayowasilisha Bungeni kwa silimia 90% inahusu namna ya kudhibiti wananchi ktk mazingira yote. Sheria za kuwabana na kuwawajibisha viongozi wasiofaa zimeminywa na hutekelezwa kwa agizo la ofisi kubwa.

Sasa issue ya umeme endapo CCM watapambania kuitatua wanajua ndo mwisho wao wa kutawala nchi. Lazima matatizo yaendelezwe na kufanyiwa ubunifu wa kuyaendeleza na kuyastawisha kama mtaji wa kisiasa.

Hivi jiulize. Mbunge gani wa CCM aliwahi kusimama kwenye kampeni zake kuzungumzia tatizo la elimu, chakula na sheria kandamizi? Wengi wanasimama kuhubiri kero za maji, umeme, barabara, vizimba vya masoko na mikopo ya Halmashauri.....

Hivyo fahamu kwamba hakuna kiongozi wa CCM atalayekuja na mwarobaini wa matatizo mtambuka ya nchi, atakayethubutu kuwaza ama kujaribu kutibu shida zetu anapewa nafasi kubwa ya exit from our nature ili tuendelee na genge letu la soga za matatizo ya nchi.....

Msanii
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi yaliathiri sana hali ya uzalishaji wa umeme katika nchi yetu. Ambapo ukame ulioikumba nchi yetu ulipelekea kina cha maji kushuka chini na hivyo kuathiri uzalishaji wa umeme.mfano bwawa la Mtera lenye uwezo wa kuzalisha megawati 80 lilijikuta likizalisha megawatts 40 tu.

Vivyo hivyo kwa bwawa la kidatu linalopakana pale mkoani Morogoro lenye uwezo wa kuzalisha megawati 204 nalo lilijikuta likishindwa kufikia uwezo wake wa kutoa megawati hizo za umeme.

Hata pale mvua zilipokuwa zimeanza hususan mwishoni kwa mwezi wa kumi na mbili ilikuwa changamoto katika kujaza maji mabwawa haya kwani mikoa tegemeo katika kupokea mvua na kupelekwa katika mabwawa haya ilikuwa ni hafifu na yenye kutawaliwa na vipindi vingi na virefu vya jua japo maeneo mengine ya nchi mvua ilikuwa ikiendelea kunyesha kwa wingi.

Tatu ni suala la ongezeko kubwa sana tena sana ya shughuli za kiuchumi hapa nchini zinazotegemea Umeme. Ndugu zangu ni kuwa Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hasssan mara baada ya kuingia madarakani amefanya kazi kubwa sana ya kuvutia wawekezaji katika Secta mbalimbali hapa nchini ,lakini pia kuongezeka kwa idadi kubwa ya wajasiriamali wanaotumia umeme katika shughuli zao za kiuchumi.

Ninyi wenyewe ni mashahidi kuwa wakati huu wa Rais Samia hakuna kiwanda cha aina yoyote ile kilichofungwa na wawekezaji kutokana na mazingira magumu ya biashara,bali tumeshuhudia shughuli za uwekezaji zikiongezeka sana hapa nchini.hali iliyopelekea na kuchochea ongezeko la mahitaji ya umeme hapa nchini ,wakati kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunatumia na kutegemea chanzo kimoja tu cha kuzalisha umeme ambao ni umeme wa maji.

Lakini pia kumekuwa na ongezeko ya mikoa ambayo hapo awali ilikuwa haijaunganishwa katika grid ya Taifa ,ambapo mara baada ya kuingia madarakani kwa mama wa shoka , chuma cha reli na jasiri muongoza njia mama Samia Suluhu Hasssan aliunganisha mikoa hiyo katika grid ya Taifa na hivyo kuongeza mahitaji ya umeme kwa kiasi kikubwa wakati vyanzo vya kuzalisha umeme vilibaki kuwa vile vile

Hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kukabiliana na Changamoto hii ya umeme ni pamoja na kufanya mchakamchaka katika kukamilisha ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litatupatia megawati 2115 pale litakapokuwa limekamilika.na kwa sasa lipo katika hatua za mwisho kabisa katika kuanza kuzalisha umeme kwa kuwasha mtambo wa kwanza ambao muda siyo mrefu utawashwa.

Pili ni kutumia umeme wa gas.ambapo serikali yetu imejaribu kutumia nakizalisha umeme unaotokana na gas ili kuongeza megawati ambazo zimekuwa zikiunganishwa katika grid ya Taifa..

Nitaendelea kutoa majibu mengine .ngoja niishie hapa kwanza ili andiko lisiwe refu sana.
Mvua zinanyesha kila pembe ya nchi na mafuriko kila kona, je mabwawa hayajajaa maji au maji yanapanda milimani siku hizi? Si tuliambiwa uhaba wa umeme ulitokana na mitambo kutofanyiwa matengenezo na itachukua mwezi?
Baadae Chorus ikabadilika kutoka matengenezo kuwa upungufu wa maji, Mvua zikaanza kunyesha,
Chorus ikabadilika kuwa upungufu umesababishwa na kuongezeka matumizi ya umeme ikilinganishwa na uzalishaji.

NOTE. Kama hatujui chanzo cha tatizo hatuwezi kupata suluhu.
Hatuwezi kutatua matatizo kwa kujifanya kuwa hayapo.
 
Mbona inaonekana kama raisi wa nchi jirani ana akili kutuzidi anafikiria kujenga vinu vya nyuklia kufua umeme rwanda si vibaya kama raisi wetu akaomba ushauri na utaalamu ili na sisi tujenge nyuklia.
Kinachosikitisha wananchi wengi ni kama raisi hili la umeme halimuhusu na hana uzito analolipa unaostahili. Maana yake hata luiongelea hataki kabisa.
Swala hili limekuwa kichaka kikubwa cha wanasiasa kupata fedha angalia Makamba alipokuwa waziri alitafuta supplier wa software toka india kwa bilioni kadhaa.

Umeme unatuumiza sana na maji nayo yameshafika level hiyo yanakuja na kukatwa bila taarifa yoyote.

#Mamatumbuamajipu
 
Kwa sasa Tanesco wanajifanyia wanavyotaka na hamna mtu uko CCM kuanzia Rais mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa kuwahoji na kufatilia nini kinaendelea Tanesco.Imagine Na mvua yote hii TANESCO wanakata umeme saa moja asubuh unarudi saa sita usiku.Then saa nane usiku tena wanakata bila maelezo kwa hiyo ata kama una mashine ya kusaga umeamua ufanye kazi usiku na usiku yenyewe wanakata hamna maelezo utajijua mwenyewe.Afu wanaanda msafara mkubwa sijui wa mwenezi,anazunguka mikoa yote sijui kutatua kero.Kero zipi si mngeanza na hii ya umeme if you are serious???unagawa pesa kwa maskini wawili watatu uko vijijini iyo ni show off tu asilimia 75 ya watz vijijini uko wana hi hizo acheni kuhadaa watu.kama kweli mnataka kutatua kero leteni mwekezaji kwenye umeme tuondokane na giza.stupid CCM
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi yaliathiri sana hali ya uzalishaji wa umeme katika nchi yetu. Ambapo ukame ulioikumba nchi yetu ulipelekea kina cha maji kushuka chini na hivyo kuathiri uzalishaji wa umeme.mfano bwawa la Mtera lenye uwezo wa kuzalisha megawati 80 lilijikuta likizalisha megawatts 40 tu.

Vivyo hivyo kwa bwawa la kidatu linalopakana pale mkoani Morogoro lenye uwezo wa kuzalisha megawati 204 nalo lilijikuta likishindwa kufikia uwezo wake wa kutoa megawati hizo za umeme.

Hata pale mvua zilipokuwa zimeanza hususan mwishoni kwa mwezi wa kumi na mbili ilikuwa changamoto katika kujaza maji mabwawa haya kwani mikoa tegemeo katika kupokea mvua na kupelekwa katika mabwawa haya ilikuwa ni hafifu na yenye kutawaliwa na vipindi vingi na virefu vya jua japo maeneo mengine ya nchi mvua ilikuwa ikiendelea kunyesha kwa wingi.

Tatu ni suala la ongezeko kubwa sana tena sana ya shughuli za kiuchumi hapa nchini zinazotegemea Umeme. Ndugu zangu ni kuwa Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hasssan mara baada ya kuingia madarakani amefanya kazi kubwa sana ya kuvutia wawekezaji katika Secta mbalimbali hapa nchini ,lakini pia kuongezeka kwa idadi kubwa ya wajasiriamali wanaotumia umeme katika shughuli zao za kiuchumi.

Ninyi wenyewe ni mashahidi kuwa wakati huu wa Rais Samia hakuna kiwanda cha aina yoyote ile kilichofungwa na wawekezaji kutokana na mazingira magumu ya biashara,bali tumeshuhudia shughuli za uwekezaji zikiongezeka sana hapa nchini.hali iliyopelekea na kuchochea ongezeko la mahitaji ya umeme hapa nchini ,wakati kwa kiasi kikubwa tulikuwa tunatumia na kutegemea chanzo kimoja tu cha kuzalisha umeme ambao ni umeme wa maji.

Lakini pia kumekuwa na ongezeko ya mikoa ambayo hapo awali ilikuwa haijaunganishwa katika grid ya Taifa ,ambapo mara baada ya kuingia madarakani kwa mama wa shoka , chuma cha reli na jasiri muongoza njia mama Samia Suluhu Hasssan aliunganisha mikoa hiyo katika grid ya Taifa na hivyo kuongeza mahitaji ya umeme kwa kiasi kikubwa wakati vyanzo vya kuzalisha umeme vilibaki kuwa vile vile

Hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kukabiliana na Changamoto hii ya umeme ni pamoja na kufanya mchakamchaka katika kukamilisha ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litatupatia megawati 2115 pale litakapokuwa limekamilika.na kwa sasa lipo katika hatua za mwisho kabisa katika kuanza kuzalisha umeme kwa kuwasha mtambo wa kwanza ambao muda siyo mrefu utawashwa.

Pili ni kutumia umeme wa gas.ambapo serikali yetu imejaribu kutumia nakizalisha umeme unaotokana na gas ili kuongeza megawati ambazo zimekuwa zikiunganishwa katika grid ya Taifa..

Nitaendelea kutoa majibu mengine .ngoja niishie hapa kwanza ili andiko lisiwe refu sana.
We dogo, acha kabisa kujibu vitu usivyovijua wewe, huu mgao umeratibiwa makusudi na mafisadi, wezi na vibaka serikalini.
 
Ndugu unaongelea suala la umeme, shilingi kuporomoka, uongozi wa Magufuli, uongozi wa Mama Samia au nini? Pia nimeamua NIKUPUUZE kwa kutamka hii kauli ya kishenzi "Madume aliyoyateua mwenyewe yanatumia udhaifu wake wa kuwa mwanamke kumhujumu".... hii ni kauli yenye nia ovu ya kumwondolea heshima yake Rais wa nchi. Siku nyingine jifunze kuwa na adabu.
Huyu ananufaika na ufisadi.
 
Kwa sasa Tanesco wanajifanyia wanavyotaka na hamna mtu uko CCM kuanzia Rais mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa kuwahoji na kufatilia nini kinaendelea Tanesco.Imagine Na mvua yote hii TANESCO wanakata umeme saa moja asubuh unarudi saa sita usiku.Then saa nane usiku tena wanakata bila maelezo kwa hiyo ata kama una mashine ya kusaga umeamua ufanye kazi usiku na usiku yenyewe wanakata hamna maelezo utajijua mwenyewe.Afu wanaanda msafara mkubwa sijui wa mwenezi,anazunguka mikoa yote sijui kutatua kero.Kero zipi si mngeanza na hii ya umeme if you are serious???unagawa pesa kwa maskini wawili watatu uko vijijini iyo ni show off tu asilimia 75 ya watz vijijini uko wana hi hizo acheni kuhadaa watu.kama kweli mnataka kutatua kero leteni mwekezaji kwenye umeme tuondokane na giza.stupid CCM
Hivi mkuu huu umeme ni wa mgao au unakatika tu? Kwa uelewa wangu mie umeme kuwa wa mgao unakuwa unajua kama unakatika muda fulani hadi muda fulani unarudi ila sasa hivi hali haipo hivyo mnaweza kukatiwa asubuhi hadi jioni halafu unarudishwa baada ya lisaa unakatwa ndio hadi kesho hiyo au kutwa nzima unakatika na kurudi sasa huu ni mgao wa aina gani?
 
Kwenye umeme mafuta simlaumu jpm alale mahala pema ila kwenye mambo mengine lolote baya limkute hata kaburi litoke nyufa
 
Back
Top Bottom