Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

Sijawahi kumuona mtu anayesifisifia Selikali iliyoko madarakani akasema ametanguliza maslai ya Taifa,kwa yapi yanayofanyika ya kusifia kila siku?
Kwani wewe ni kipofu wa akili na macho mpaka ushindwe kuona mambo makubwa yaliyofanywa na CCM kwa Taifa letu?
 
Lini ambapo CCM haijashinda uchaguzi? Ingekuwa haishindi ni vipi ingekuwa inaungwa mkono na mamilioni ya watanzania?

Hakuna anyeiunga mkono chama chenu ukiacha wachumia tumbo ,ukiona mtu yupo kwenye chama chenu jua anafaidika moja kwa moja ,na ndiyo maana wasanii wanaunga mkono chama chenu kwasababu wanafaidika na mikopo pamoja na shows ,masanii akiwa against nyinyi atapata misukosuko sana kama kina roma na ney wanavyonyanyaswa.

Chama chenu labda kilishinda enzi za nyerere kipindi wanachagua Nyerere na kivuli na 2005 tu ,Mkaa hapa naye alipigwa za uso na mrema 95 ,kidogo jar car hire 2005 naweza nikasema alishinda kihalali baada ya hapo ni Wizzy Wizzy ila Nzirankende 2020 ndiyo akaja kuvunja record ya wizzy wa kura wazi wazi baada ya kupigwa za uso 2015.
 
Hakuna chama chenye uwezo wa kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hakuna chama chenye ushawishi kwa watanzania kama ilivyo CCM.si unaona CHADEMA ilikosa hata watu wa kwenda kuandamana na kuishia kumtelekeza Mbowe na familia yake wapambane na hali zao.
 
Nakubaliana na wewe maana chama chenu kina support ya kilazima ya walimu wote TZ nzima ,Majeshi yote yanilinda chama chenu.
 
Miaka ya nyuma ccm na serikali yake haikuwa inategemea kitetewa mitandaoni, ila imefikia hatua ccm inatafutiwa utetezi hata na wehu. Ni dalili moja ya kutokukubalika.
 
Miaka ya nyuma ccm na serikali yake haikuwa inategemea kitetewa mitandaoni, ila imefikia hatua ccm inatafutiwa utetezi hata na wehu. Ni dalili moja ya kutokukubalika.
Na ikikubali mgombea huru na baadhi ya marekebisho kwenye katiba Itakuwa kama KANU!
 
Surat Al-Imran (3:26):"Sema:
'Ewe Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Ufalme! Unampa Ufalme umtakaye, na unamnyang'anya Ufalme umtakaye; na unamwinua umtakaye, na unamshusha umtakaye. Haki iko mikononi Mwako, hakika Wewe ni Muweza wa kila kitu

.'"Aya hii inaelezea wazi kwamba Allah ndiye Mfalme wa falme zote na ndiye anayeweza kumpa au kumnyang'anya mamlaka yoyote. Hii inadhihirisha kwamba uongozi ni kutokana na uamuzi wa Allah.Surat Al-Baqarah (2:247):
"Na prophet wao akawaambia: 'Hakika Mwenyezi Mungu amewachagua Sauli kuwa mfalme juu yenu.' Wakasema: 'Je, atakuwa na mamlaka juu yetu, na sisi tuna nguvu zaidi kuliko yeye?'"Hapa, Qur'an inaonyesha jinsi Allah alivyowachagua viongozi kwa ajili ya watu wake, akionyesha kwamba uongozi ni mpango wa Allah.
 
Nakubaliana na wewe maana chama chenu kina support ya kilazima ya walimu wote TZ nzima ,Majeshi yote yanilinda chama chenu.
Nenda na wewe uwalazimishe wakuungeni mkono.unachopaswa kufahamu ni kuwa watu wanaipenda CCM kwa hiyari na kwa upendo wao.
 
"LAW 4: Always Say Less Than Necessary. When you are trying to impress people with words, the more you say, the more common you appear, and the less in control. Even if you are saying something banal, it will seem original if you make it vague, open-ended, and sphinxlike. Powerful people impress and intimidate by saying less. The more you say, the more likely you are to say something foolish.” ―Robert Greene, The 48 Laws of Power
 
Miaka ya nyuma ccm na serikali yake haikuwa inategemea kitetewa mitandaoni, ila imefikia hatua ccm inatafutiwa utetezi hata na wehu. Ni dalili moja ya kutokukubalika.
CCM inakubalika kila mahali na kusemewa kila sehemu
 
Pambaneni na CHADEMA yenu huko inayoendelea kukimbiwa na watu.
 
Utakuwa na laana si bure kwa kufuru ya kiasi hicho. Pole sana, wapo waliosema hii nchi bila wao haitakuwepo, yupo Mwamba wa mbinguni alikuwa anacheka tu, kufumba na kufumbua tukajikuta kwa mara ya Kwanza kwa mizaha ya ccm, tunaye binti kiziwi, ambaye hata wao wenye çcm yao walibaki midomo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…