Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

Ni sawa na kusema uhai wa Rwanda unategemea Kagame, Uganda M7, Korea Kaskazini Kim Jong Un. Hata Kenya enzi za KANU walifikiri hivi hivi. Mawazo mgando!
 
Nimesema CCM.au wewe umesomaje ndugu yangu.
 
Sio
Kwanini hukuingia barabarani kuandamana?
lazima iwe barabarani hata uvunguni tunaandamana,kuujulisha umma,ndio maana mkaomba polisi,sisi tuliwataarifu polisi ni maandamano ya Amani na Maombolezo ya Watu waliotekwa,Angetekwa mjomba wako,ungechekelea tuu wewe!
 
Na ikikubali mgombea huru na baadhi ya marekebisho kwenye katiba Itakuwa kama KANU!
Ccm imebaki kubebwa na serikali tu lakini ukweli ni kwamba ccm nje ya dola ni kama TLP tu. Hakina wanachama wa hiari, wengi ni wale wanaotafuta chochote kitu.
 
CCM ni chama imara na chenye kuaminika na kuaminiwa na watanzania
 
Back
Top Bottom