Tetesi: Uhakiki: Maprofesa UDSM washindwa kuwasilisha vyeti vya sekondari,wawa wakali


Waanze na Wabunge wote kama ni kweli
 
hii kazi kweli....nina hakika kuna maprofesa wengi makanjanja. vipi dr bana ameishahakikiwa au amelala mbele?
 
Anayehakiki wenzake
Je anayehakiki amehakikiwa? Zoezi hili ni zuri sana, ila linatakiwa lianzie paleee Bungeni. Na lifanyike kwa uwazi na live ili iwe mfano kwa Taasisi zingine za Serikali.
 

Jiwe gizan
 
Wana soko kubwa la ajira hata wakiwadindia hawawezi kuwafanya kitu.
 
Mimi unaweza kunitoa uhai ukiomba nikuonyeshe cheti changu cha digrii ya kwanza sembuse vya sekondari maana naamini cha digrii ya pili kinatosha.
 
Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Hee! wataombwa na vyeti vya kumaliza nursery.
Mwaka huu tutashuhudia mengi.
 
Tayari hapo ni ututa kujumlisha na kutoa jipu lime guswa penye maumivu.
 
Dah aisee yaani kuhakiki imekuwa ngumu sana kumeza
 

Ukiangalia CV za maprofessor wengi hutakuta wameoredhesha vyeti vyao vya seconday (form 4 & 6). Ni kwamba hata kwenye kutafuta kazi za muda mfupi huwa haviandikwi hivyo wengi hawafikirii kwamba ni sawa sawa kuhakiki hivi vyeti na wengine hata hawajui viko wapi.
 
Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Hahahahaha Admission number ya uanafunzi ya shule ya msingi hakuna atakaye pona labda darasa la Kwanza la mwaka huu.
Cheti cha la saba tu ukiambiwa upeleke unaweka picha ya sasa au uweki picha.
 
Hivi wataalamu wa IT wameshindwa kuisadia serikali kuachana na haya mambo ya makashabrasha?
 
Hivi wataalamu wa IT wameshindwa kuisadia serikali kuachana na haya mambo ya makashabrasha?
Unataka twende tukalazimishe au? Hivi watu wakiwa na nywele ndefu unamlaumu kinyozi kuwa kwa nini hajawanyoa?
 


Shida ni huyo mwenye cheti feki yupo usalama wa taifa na sehemu nyeti unaanzaje kumfukuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…