HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Mtego mwingine huu kwa JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti
vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka,kuwa
hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa
zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba
(kwasasa Dodoma)
hii kazi kweli....nina hakika kuna maprofesa wengi makanjanja. vipi dr bana ameishahakikiwa au amelala mbele?Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Je anayehakiki amehakikiwa? Zoezi hili ni zuri sana, ila linatakiwa lianzie paleee Bungeni. Na lifanyike kwa uwazi na live ili iwe mfano kwa Taasisi zingine za Serikali.Anayehakiki wenzake
Kwanza aliyeanzisha hii mada sijui alikuwa ana maana gani. Ina maana hizo taasisi zilizowapa hizo PhD hazikujali vigezo vyao vya kuingilia? Isitoshe, anajua mfumo wa elimu enzi hizo ulikuwaje hapa Tanzania? Msipende " backward extrapolation" kwa kuwa sifa na vigezo vinabadilika kulingana na wakati. Kwanza hawa watu uwezo wao ulikuwa mkubwa sana kimasomo. Unawajua walimu wa UPE wewe? Unajua uwezo wao?
Kwa hivyo nani aulizwe? Na vyet feki ving ni O-Level .Yanini kumuuliza graduate / Doctor / au professor cheti cha secondary ? sioni sababu ya kutaka vyeti vya secondary , cheti chake cha chuo ndio muhimu.
Wana soko kubwa la ajira hata wakiwadindia hawawezi kuwafanya kitu.Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Nani?
Kwa haibu hii, kwa kweli watu watazidi kumlilia Kikwete kwani Magufuli hana mchezo na vihiyo serikalini.
Hee! wataombwa na vyeti vya kumaliza nursery.Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Wali forge vyeti vya form four na sita!!!! na walivitia moto!!!!!Hili ni zaidi ya jipu mtakuja kuniambia...
Kwa kuanzia tu vyeti vya form four vinatosha sana
Tayari hapo ni ututa kujumlisha na kutoa jipu lime guswa penye maumivu.Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hahahahaha Admission number ya uanafunzi ya shule ya msingi hakuna atakaye pona labda darasa la Kwanza la mwaka huu.Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Unataka twende tukalazimishe au? Hivi watu wakiwa na nywele ndefu unamlaumu kinyozi kuwa kwa nini hajawanyoa?Hivi wataalamu wa IT wameshindwa kuisadia serikali kuachana na haya mambo ya makashabrasha?
Wengine wanatumia vyeti vya watu wengine mpaka wametusua zamani kulikuwa na shule za wazazi na chache sana private kama sio za taasisi za dini. Kuchamba kwingi kunataka kuibua visivoiburika wangewakaushia manake wengine wameungaunga sana na siku hizi vitu vitaishia mitandaoni, by the way mwisho wake unatabilika kuna watu wataumbuka tu.