Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,702
Pale migration aisee bila rushwa hupati passport uwe una renew au ndo unaomba mara ya kwanza.
Haya Huyo mtu anaitwa Festo Malabe ninzaliwa wa kigoma maeneo ya gungu alikuwa anafundisha wilaya ya Buhigwe nitakutumia namba zake za sim alaf nitakuwa namuulizia..Elimu ya uraia hii nchi imekaa hovyo kabisa ...
Wewe Ni sampuli na mfano tosha kuwa nchi hii imejaa raia wasioelewa haki zao...
Narudia tena Kama unajijua umekamilisha kila kitu na uko kwenye haki hupaswi kulialia ...
Naomba uniambie huyo ndugu yako Ni kweli ni raia au sio raia ??? Kama ni raia sema mkoa gani walimsumbua .... Mkuu wa mkoa gani alimsumbua ... Kituo kipi Cha polisi kilimsumbua ....
Weka hizo taarifa zako hapa.... Halafu tuone Kama kitashindikana Kitu...
Mtaaani kumejaa Entities kibao zinatoa msaada wa kisheria bure kabisa mnashindwa hata kwenda kutafuta haki zenu .. Unaijua Tawla ??? Unaijua LHRC ? Na zingine nyingi.
Unamjua Abdul nondo ??? Yule kijana anatokea ujiji na chimbuko la babu zake Ni Congo japo walizamia tanganyika miaka na miaka ... Unadhani kwanini alichomoka hizo shutuma kuwa sio raia ... Alisimamiwa na hao LHRC na Taasisi ya haki za binadamu ambazo huduma zao Ni burw kabisa ....
Halafu unaposema eti hawakuombi rushwa ila wanakuzungusha !!! Unajua forms za rushwa ???? Au hujui hata kuchelewesha huduma kwa raia ni kosa ... Daaaah hii nchi elimu ya uraia bado Sana ....
Mimi nakuomba uweke hizo taarifa nilizokuomba hapa Ilimradi Huyo mtu awe ana uhakika ni raia wa Tanzania .. Kwa maelezo zaidi Chukua katiba Soma nini maana ya mtanzania na akiona ameingia kwenye hiyo tafsiri ajue ananyimwa Haki zake .. Aanze mara moja kufuatilia haki yake.. Nimempa baadhi ya ofisi hapo juu...
Na huko wizarani aliyeyushwa tu amtafute waziri husika , hivi hujui hata wizarani kumejaa vijeba ...
Akishindwa afunge safari hadi Chamwino ....
Anza na Hawa..Haya Huyo mtu anaitwa Festo Malabe ninzaliwa wa kigoma maeneo ya gungu alikuwa anafundisha wilaya ya Buhigwe nitakutumia namba zake za sim alaf nitakuwa namuulizia..
Labda huenda umefumba macho ukijisi unaona.. Hivi unajua katika nchi hiihii kunawatu wananyimwa haki zao na niwasomi huenda kuliko wewe? Nikupe mfano tu wa kawaida unajua kuwa kila raia anahaki ya kufanya siasa popote katika nchi hii? Ila unahabari kuwa kwa sasa hiyo haki haipo na mikutano haitakiwi ila kwa mtu ambae ni kiongozi wa eneo husika? Unajua kuwa kunawatu wanadhulumiwa haki zao za kupanda madaraja kazini? Hivi hao watu hawajui kuwa ni haki?.. Narudia hata hao unaiwasema wakiingilia kati itabaki ni bahati ya mtu na wakiamua asipate haki hapati tuu na hawatofanywa loloteElimu ya uraia hii nchi imekaa hovyo kabisa ...
Wewe Ni sampuli na mfano tosha kuwa nchi hii imejaa raia wasioelewa haki zao...
Narudia tena Kama unajijua umekamilisha kila kitu na uko kwenye haki hupaswi kulialia ...
Naomba uniambie huyo ndugu yako Ni kweli ni raia au sio raia ??? Kama ni raia sema mkoa gani walimsumbua .... Mkuu wa mkoa gani alimsumbua ... Kituo kipi Cha polisi kilimsumbua ....
Weka hizo taarifa zako hapa.... Halafu tuone Kama kitashindikana Kitu...
Mtaaani kumejaa Entities kibao zinatoa msaada wa kisheria bure kabisa mnashindwa hata kwenda kutafuta haki zenu .. Unaijua Tawla ??? Unaijua LHRC ? Na zingine nyingi.
Unamjua Abdul nondo ??? Yule kijana anatokea ujiji na chimbuko la babu zake Ni Congo japo walizamia tanganyika miaka na miaka ... Unadhani kwanini alichomoka hizo shutuma kuwa sio raia ... Alisimamiwa na hao LHRC na Taasisi ya haki za binadamu ambazo huduma zao Ni burw kabisa ....
Halafu unaposema eti hawakuombi rushwa ila wanakuzungusha !!! Unajua forms za rushwa ???? Au hujui hata kuchelewesha huduma kwa raia ni kosa ... Daaaah hii nchi elimu ya uraia bado Sana ....
Mimi nakuomba uweke hizo taarifa nilizokuomba hapa Ilimradi Huyo mtu awe ana uhakika ni raia wa Tanzania .. Kwa maelezo zaidi Chukua katiba Soma nini maana ya mtanzania na akiona ameingia kwenye hiyo tafsiri ajue ananyimwa Haki zake .. Aanze mara moja kufuatilia haki yake.. Nimempa baadhi ya ofisi hapo juu...
Na huko wizarani aliyeyushwa tu amtafute waziri husika , hivi hujui hata wizarani kumejaa vijeba ...
Akishindwa afunge safari hadi Chamwino ....
Unadhani hicho ulichosema ndio kinaondoa umbumbumbu wa watanzania ?? Hayo uliyosema unadhani yanaweza fanyika kwenye nchi iliyo na UPUNGUFU wa raia wasio na uelewa na haki zao???Labda huenda umefumba macho ukijisi unaona.. Hivi unajua katika nchi hiihii kunawatu wananyimwa haki zao na niwasomi huenda kuliko wewe? Nikupe mfano tu wa kawaida unajua kuwa kila raia anahaki ya kufanya siasa popote katika nchi hii? Ila unahabari kuwa kwa sasa hiyo haki haipo na mikutano haitakiwi ila kwa mtu ambae ni kiongozi wa eneo husika? Unajua kuwa kunawatu wanadhulumiwa haki zao za kupanda madaraja kazini? Hivi hao watu hawajui kuwa ni haki?.. Narudia hata hao unaiwasema wakiingilia kati itabaki ni bahati ya mtu na wakiamua asipate haki hapati tuu na hawatofanywa lolote
Baada ya hapo?Unaanzia kujaza form kwenye website ya uhamiaji mkuu
Baada ya hapo?
Thank you!Kila kitu kinajieleza after hapo mkuu
Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.
Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".
Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?
Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?
Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .
Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.
Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!
Wanaoletewa usumbufu kwenye kupata pass ni wale wenye haki nazo na hao unaowaita wanyonge. Hao wageni au wakimbizi wala hawapati usumbufu huo tunaokutana nao sie raia wenye haki.Na huo usumbufu wa uhamiaji wala hauna lengo la kudhibiti chochote zaidi ya uzembe na kutengeneza mazingira ya rushwa tuKwa upande mmoja nakubaliana na mtoa hoja ila upande mwingine namponga,
Watanzania tumekuwa wepesi sana kutukuza ugeni, wengi humu wanachojadili ni kulinganisha Tanzania na mataifa ya ulaya Jambo ambalo alitatokea leo wala kesho.
Jiulize kitambulisho cha Taifa Duniani kilianza kutolewa mwaka gani na sisi tulianza lini na kwa watu wangapi?
Jiulize hao Uhamiaji wanamfanano wa taarifa za Kila mtanzania yaani Wana taarifa zako toka siku unazaliwa Hadi leo?
Mimi Kati ya kitu ambacho ninakipiga Vita Ni kuwapa wageni pasipoti kwa sababu tu Wana cheti Cha kuzaliwa, kitambulisho Cha Taifa na wamesoma Tanzania....Mimi Nina marafiki zangu walikuwa wakimbizi kigoma lakini nilikutana nao Canada na mwingine Australia wakiwa na pasipoti za Tanzania na walipofika kule wakazichana/wengine wakazificha na kuomba ukimbizi...
Tunawalalamikia Kila siku kuwa kuna wahamiaji haramu ( neno la kibaguzi kabisa kulitumia),hivi hao wahamiaji haramu wanasoma wapi? Wanatumia document gani Kama siyo kujifanya Watanzania?
Waacheni wafanye kazi yao la sivyo wasipochuja vizuri kwa presha za kusema pasipoti zitolewe na TRA au mamlaka nyingine ipo siku tutakuta wakongo, warundi, wakenya, wanigeria, wahindi wanatamba na pasipoti zetu huko nje.
Mbona yukiomba visa hatulalamikiage balozi ? Mtu anatoka nje mwaka anakuja kabadili Hadi lafudhi kisa aonekane mzungu...lazima Uhamiaji wakipige kuanzia lafudhi Hadi mashauzi. Kenya wanaumizwa na alshababu kwa sababu tu hawakuchuja ipasavyo.
Mimi nakubaliana na mchujo unaofanywa na uhamiaji kwa sababu najua wapo waliojipatia pasipoti zetu kwa rushwa lakini si Watanzania, wapo waliofoji vyeti.......jiulize wale watumishi feki walitumia majina na documents gani kuomba pasipoti?Leo wakija kubadilishwa waendelee kuruhusiwa kutumia majina ya vyeti vyetu....,....tuache UBINAFSI, hapa naiunga serikali mkono kwa sababu tukicheza kwenye pasipoti au kuweka siasa sisi wanyonge na vizazi vyetu ndo tutaumia.
Idara ile naamini ni kubwa yenye viongozi. Malalamiko haya wamefikishiwa yakiwa bado 'hot' na wakashindwa kuyatatua? Nahofia kusiwe na kukuza mambo kusiko sahihi
Yani hawa jamaaa ni vimeo kweli kweli, ni kitu hata Mimi nilibaki najiuliza sana, pass yangu nshaitumia kuingia nchi kibao, na sio kwamba hata imeisha muda ila nataka ya electronics , unaenda unaanza kuulizwa maswali ambayo hayana maana, pia hata barua ya mtendaji ya nini tena au Mwenyekiti wa mtaa ya nini kama nina national ID? Hiyo NIDA haina taarifa zangu? Unaniambia nilete leseni ya biashara na tiketi ya ndege, yani kama vichaa, nikakate tiketi ya ndege mapema kisa nataka ku renew passport? Si waafrika bado sana, hata reasoning capacity yetu INA uwalakini, ndio maana sometimes Magufuli anawatukana hawa maboss wa hizi taasisi, utafikili wana akili za kushikiliwa.Hii hoja iko Sawa, maana hata mimi yamenikuta pass yangu imeisha wakati inaelekea ukingoni nikaenda kuulizia utaratibu wakurenew nilichoambiwa sasa nikabaki kushangaa!!!!! Eti natakiwa nipate barua ya mwaliko kutoka huko ninapotaka kwenda na sababu zake nikabaki kujiuliza hivi ndo ninaanza kuaplai upya?!!! Nikaona bora hata ya leseni ya udereva naomba serikali kama itaweza basi hata passport nayo iwe kama leseni ya udereva kwa wale ambao wameshaipata.
Vinginevyo ni usumbufu tu.