Mkata kimeo
Member
- Sep 30, 2019
- 83
- 82
Kwa kweli walioleta biashara ya utumwa afrika walaaniwe na vizazi vyao.
Tena humo kwenye cheti cha nida kuna taarifa zako zote lakini uhamiaji wanakuuliza taarifa zile zileSaa zingine najiuliza hizi NIDA za kazi gani maana unakuwa nacho ila usumbufu unakuwa mwingi
Sijakutana nazo/nayo. Na popote ninapokutana na kero katika huduma za serikali najitahidi kupata suluhu palepale na sio kuja kutatulia tatizo Jamiiforum.Kukuza mambo kusiko sahihi ndiko kupi!? Hii kero hauioni? au wewe hujakutana na hizo kero?
Mwongo hana rangi aisee. Kakimbilia Jamiiforums na kuliacha tatizo palepale Uhamiaji, kama kweli lipo. In short anataka tuamini majunguHuyu jamaa anasema walienda Jana
Immigration ndio hayo yakamkuta. Hivi mmesahau jana ilikuwa ni PH?
Mshachukua hatua zipi nyie wenye exposure mlipokutana na hizi kero? Mlisubiri kuja Julia huku? Tunatatizo mahalaHujawahi kwenda uhamiaji wewe! Haya ni mambo ya wazi kabisa yanafanyika mchana kweupe, Miaka nenda miaka rudi Uhamiaji is rotten!
Tatizo la nchi hii washamba wengi sana! washamba wamejazana maofisini basi tabu tupu, Elimu ya kukariri haijawasaidia kitu, ustaarabu mdogo, exposure ndogo maendeleo tuendelee kuyasikia tu Nchi za watu.
Uhamiaji usumbufu huwepo hata kama utakuwa na kila kitu bado watasaka kisingizio kingineSaa zingine najiuliza hizi NIDA za kazi gani maana unakuwa nacho ila usumbufu unakuwa mwingi
Mwongo hana rangi aisee. Kakimbilia Jamiiforums na kuliacha tatizo palepale Uhamiaji, kama kweli lipo. In short anataka tuamini majungu
Sijakutana nazo/nayo. Na popote ninapokutana na kero katika huduma za serikali najitahidi kupata suluhu palepale na sio kuja kutatulia tatizo Jamiiforum.
Sasa Kama mtu ni mkimbizi kwanini apewe passport ???Kwa upande mmoja nakubaliana na mtoa hoja ila upande mwingine namponga,
Watanzania tumekuwa wepesi sana kutukuza ugeni, wengi humu wanachojadili ni kulinganisha Tanzania na mataifa ya ulaya Jambo ambalo alitatokea leo wala kesho.
Jiulize kitambulisho cha Taifa Duniani kilianza kutolewa mwaka gani na sisi tulianza lini na kwa watu wangapi?
Jiulize hao Uhamiaji wanamfanano wa taarifa za Kila mtanzania yaani Wana taarifa zako toka siku unazaliwa Hadi leo?
Mimi Kati ya kitu ambacho ninakipiga Vita Ni kuwapa wageni pasipoti kwa sababu tu Wana cheti Cha kuzaliwa, kitambulisho Cha Taifa na wamesoma Tanzania....Mimi Nina marafiki zangu walikuwa wakimbizi kigoma lakini nilikutana nao Canada na mwingine Australia wakiwa na pasipoti za Tanzania na walipofika kule wakazichana/wengine wakazificha na kuomba ukimbizi...
Tunawalalamikia Kila siku kuwa kuna wahamiaji haramu ( neno la kibaguzi kabisa kulitumia),hivi hao wahamiaji haramu wanasoma wapi? Wanatumia document gani Kama siyo kujifanya Watanzania?
Waacheni wafanye kazi yao la sivyo wasipochuja vizuri kwa presha za kusema pasipoti zitolewe na TRA au mamlaka nyingine ipo siku tutakuta wakongo, warundi, wakenya, wanigeria, wahindi wanatamba na pasipoti zetu huko nje.
Mbona yukiomba visa hatulalamikiage balozi ? Mtu anatoka nje mwaka anakuja kabadili Hadi lafudhi kisa aonekane mzungu...lazima Uhamiaji wakipige kuanzia lafudhi Hadi mashauzi. Kenya wanaumizwa na alshababu kwa sababu tu hawakuchuja ipasavyo.
Mimi nakubaliana na mchujo unaofanywa na uhamiaji kwa sababu najua wapo waliojipatia pasipoti zetu kwa rushwa lakini si Watanzania, wapo waliofoji vyeti.......jiulize wale watumishi feki walitumia majina na documents gani kuomba pasipoti?Leo wakija kubadilishwa waendelee kuruhusiwa kutumia majina ya vyeti vyetu....,....tuache UBINAFSI, hapa naiunga serikali mkono kwa sababu tukicheza kwenye pasipoti au kuweka siasa sisi wanyonge na vizazi vyetu ndo tutaumia.
Mshachukua hatua zipi nyie wenye exposure mlipokutana na hizi kero? Mlisubiri kuja Julia huku? Tunatatizo mahala
Hahaaa hawajui kuwa JF ni mahakama ya kuwashitaki wasumbufu wa jamii na kupitia JF kero nyingi zimepatiwa ufumbuziwe ni mgeni nchi hii kwani!? Kwamba nani ukamshitaki kwa nani? Ukitegemea matokeo yapi?
Anza na Hawa..
MAWASILIANO LHRC
[email protected]
PHONE NO+255 22 2773038 / +255 22 2773048
WEB ADDRESShttp://www.humanrights.or.tz
MAWASILIANO TAWLA
TAWLA House, Plot 33 Ilala Sharif Shamba
+255 222 852856
[email protected] / [email protected]
P.O. Box 9460 Dar es Salaam
Ulibahatika... mimi kuna mdada mpumbavu sana, nimesumbuka sina hamu.May b kuna wakati wanasumbua sana ila MIMI NILITUMIA OFISI ZA MWANZA WAKO POA HALACU WANAELEKEZA VIZURI SEMA WAMEKAA MKAO WA HELA HELA
Nyinyi ndo mnakaa nyuma ya viti na kusumbua watz wenzenu kwa kisingizio cha kukwepa kusajili wakimbiziKwa upande mmoja nakubaliana na mtoa hoja ila upande mwingine namponga,
Watanzania tumekuwa wepesi sana kutukuza ugeni, wengi humu wanachojadili ni kulinganisha Tanzania na mataifa ya ulaya Jambo ambalo alitatokea leo wala kesho.
Jiulize kitambulisho cha Taifa Duniani kilianza kutolewa mwaka gani na sisi tulianza lini na kwa watu wangapi?
Jiulize hao Uhamiaji wanamfanano wa taarifa za Kila mtanzania yaani Wana taarifa zako toka siku unazaliwa Hadi leo?
Mimi Kati ya kitu ambacho ninakipiga Vita Ni kuwapa wageni pasipoti kwa sababu tu Wana cheti Cha kuzaliwa, kitambulisho Cha Taifa na wamesoma Tanzania....Mimi Nina marafiki zangu walikuwa wakimbizi kigoma lakini nilikutana nao Canada na mwingine Australia wakiwa na pasipoti za Tanzania na walipofika kule wakazichana/wengine wakazificha na kuomba ukimbizi...
Tunawalalamikia Kila siku kuwa kuna wahamiaji haramu ( neno la kibaguzi kabisa kulitumia),hivi hao wahamiaji haramu wanasoma wapi? Wanatumia document gani Kama siyo kujifanya Watanzania?
Waacheni wafanye kazi yao la sivyo wasipochuja vizuri kwa presha za kusema pasipoti zitolewe na TRA au mamlaka nyingine ipo siku tutakuta wakongo, warundi, wakenya, wanigeria, wahindi wanatamba na pasipoti zetu huko nje.
Mbona yukiomba visa hatulalamikiage balozi ? Mtu anatoka nje mwaka anakuja kabadili Hadi lafudhi kisa aonekane mzungu...lazima Uhamiaji wakipige kuanzia lafudhi Hadi mashauzi. Kenya wanaumizwa na alshababu kwa sababu tu hawakuchuja ipasavyo.
Mimi nakubaliana na mchujo unaofanywa na uhamiaji kwa sababu najua wapo waliojipatia pasipoti zetu kwa rushwa lakini si Watanzania, wapo waliofoji vyeti.......jiulize wale watumishi feki walitumia majina na documents gani kuomba pasipoti?Leo wakija kubadilishwa waendelee kuruhusiwa kutumia majina ya vyeti vyetu....,....tuache UBINAFSI, hapa naiunga serikali mkono kwa sababu tukicheza kwenye pasipoti au kuweka siasa sisi wanyonge na vizazi vyetu ndo tutaumia.
Naunga mkono hoja asilimia 100. Navyojua mimi kama unamiliki kama unamiliki pasipoti halali haitakiwi usumbuliwe. Vinginevyo kama mtu ndio anaanza kuomba kwa mara ya kwanza. Ukiona unamiliki pasipoti na unataka ku-renew wakikusumbua fahamu wanataka rushwa. Dawa yao wawekee mtego wa PCCB. Watanaswa kiulainiKati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.
Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".
Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?
Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?
Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .
Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.
Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!
Wewe utakuwa ni mfanyakazi au Mtumishi wa uhamiaji umeamua kuwatetea kijanja lakini utambue kuwa unalea Ugonjwa mbaya wa kuendeleza usumbufu usio na Tija unaolikosesha Taifa mapatoBinafsi sioni kama uhamiaji kuna tatizo ila naamini sisi ndio tuna matatizo, kama kweli wewe ni Mtanzania na una vigezo kwanini usiwe na documents ambazo zitadhibisha na kuona kweli unastahili kupata Passport!!?
Nilienda uhamiaji mida ya saa Saba mchana nimejipanga haswaa hasa katika swala la documents, yule Brother alie nishughulikia alisema unastahili na huna sababu ya kuto kupewa Passport.
Nikapewa tarehe kweli nikaenda kuchukua wizara ya mambo ya ndani, yani faster tu hata Wife alinishangaa akasema eti Mimi kijukuu cha Mtume ila ukweli nilijipanga kwa vigezo na sikutoa hata rushwa mia.
Serikali naipongeza kwa hatua zake maana hapa Bongo kambi za wakimbizi ni nyingi na asilimia kubwa wakimbizi wana ongea kiswahili kizuri.. Binafsi nawapongeza sana Uhamiaji na nampongeza JPM kwa hatua za kumpa heshima Mtanzania na Passport mpya.
Wengi wenu mlipata Passport za zamani kimaghumashi mkubali mkatae, kwa taratibu za sasa lazima mrudishwe kwasababu mlizoea kutoa rushwa Passport zinawafata majumbani sasa hivi ngumu.
Asante Mh Rais na Uhamiaji kwa kuleta heshima ya Mtanzania tutaelewana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app