Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nadhani wao wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanaempatia passport ni Mtanzania halisi tu... Wanatakiwa ku focus kwenye uraia maana ni hatari sana mtu ambaye sio raia wa nchi X kuwa na pass ya nchi X
 
Madhumuni ya safari yanawahusu nini?
 
Nadhani wao wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanaempatia passport ni Mtanzania halisi tu... Wanatakiwa ku focus kwenye uraia maana ni hatari sana mtu ambaye sio raia wa nchi X kuwa na pass ya nchi X
Hawana mechanism ya kujua mtanzania halisi na hasio halisi zaidi ya usumbufu kwa raia kweli mtu anakuomba vyeti vya wazazi wako walio zaliwa kabla ya uhuru wa Tanzania kweli vitapatikana manaake mtu ambaye hana wazazi/au walezi, hana haki ya kupata passport? Ni usumbufu tu hi nchi inaongozwa kisiasa kila jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa hii mada. Naomba nifafanulie; tunajaza nini pale walipouliza unaenda nchi gani na kufanya nini.. wakati me nahitaji tu passpoti niwe nayo.
 
Is that number really true?.
No wonder when you get a trip abroad people feel like ur going to a semi-heaven
 
Mkuu wanaposema hati ya kusafiria ni haki yako wana maanisha nini.....na kwann si kila mtu hatakiwi kuipata ukinijibu haya maswali ntashukuru sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah kumbe ndo maana ukitaka kubadili kupata mpya yaani process ni kama kuanza upya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa kwa sababu hawana hiyo mechanism, mtu akienda na nationa ID tu inatosha kumpa pass... Mambo mengine wawaachie vyombo vingine!
 
Maelezo yafuatayo yapo kwenye pasipoti. "Hii ni kuwaomba na kuwasihi, kwa jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote wanaohusika, kwa kusudi la kumruhusu mwenye pasipoti hii kupita bila kizuizi ama kipingamizi chochote na vile vile kumpa msaada na ulinzi wowote ambao utaonekana kuwa wa lazima"
Pasipoti ni hati ya kusafiria nje ya nchi na siyo kitambulisho.
 
Hayakuhusu naweza kuitaka hata for prestige tu kuwa Nina passport wewe kinakuuma Nini? It is non of your bussiness.Wewe nipe passport mengine niachie mwenyewe

If everyone angekua anataka maisha yaende ivo kama unavotaka wewe, this world would have been a big mess
 
Hayakuhusu naweza kuitaka hata for prestige tu kuwa Nina passport wewe kinakuuma Nini? It is non of your bussiness.Wewe nipe passport mengine niachie mwenyewe

Hata terrorists wanataka sana passport ndo maaana wanahangaika na passport feki, you think leading people is an easy thing as you just say nipe! Afterall skushangai something is still missing kichwan kwako
 
Maswaali meengi " unaenda wapi, kufanya nini, nani kakupa mwaliko, je ni ndugu yako, utakaa siku ngapi, tuone akaunti ya benki una tsh ngapi, ulishawahi kwenda huko, unafanya kazi gani/wapi,? "
kifupi wanakuintarogeti pale... Kaaazi kweli kweli
 
kwa hiyo nchi zinazotoa passport chap chap ndani ya saa tatu kama rwanda zimejaa terrorists?
 
wanataka waonekane wako busy while they are busy for nothing kwa kuuliza maswali kama hayo

hayo maswali ni ya ubalozi unapoomba viza sio yao.Yaani mtu anafika jioni anasema leo nimechoka nimefanya kazi kweli kweli kwa kushinda akiuliza maswali ya ubalozini?

Akienda mtaalamu consultant afanye work study uhamiaji kuna watu kibao watapewa retrenchment au redundancy
 
kwa hiyo nchi zinazotoa passport chap chap ndani ya saa tatu kama rwanda zimejaa terrorists?

Unajua passport zinategemeana right? Mfano passport ya afrika mashariki ukiachana na lile likitabu ni few hours unapata? Passport gan hio ingine unapewa ya 3 hours nje ya afrika? Electronicr passport ama? Na unajua Rwanda ni kama singida tu kuwahudumia wananchi ni rahisi, na watu wengi wamestarabika hata ujenzi wa taifa lao wanalichukulia kwa makini sana, mfano wanayo event flan wanafanya usafi kwa pamoja nchi nzima na biashara zote znafungwa? Na pia wanawajengenea watu nyumba kipindi cha huo usafi na mengine mengi

Ni tafauti na sisi ambao gari LA taka likipita unasubiri lianze kuondoka ndo ukimbize takataka na bado unataka kutema mate juu
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…