Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

Hata mie nashangaaa jinsi wasomali wanavyokamatwa huwa hadi nalia,
 
Mbaya zaidi mfano unatoka Dar kwenda Mbeya, bus ikifika Msamvu Terminal ambapo pana huduma zote hutawaona, ila bus ikitoka Msamvu ikikaribia maeneo ya Mindu ndiyo unawakuta wanawashusha abiria na kuwapotezea muda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k
Hapa ndipo panaposikitisha. Miaka 60 ya uhuru na kituo cha afya hakina surgical gloves!

Amandla...
 
Radio free afrika the sound of afrika inafanya nn au wanasubiria uchaguzi tu ili watangaze
 
Mkuu wakati mwingine hizi huruma za kitanzania zinatuponza!!cha msingi hujaelezea tatizo lilikuwa ni nini, sio mambo ya eti alijieleza, wapi, mfano kama hana muhuri wa mpakani alipoingilia nchini, unategemea nini?

Hilo ni jambo dogo?!!Acheni lawama kwenye mambo ya msingi, wewe nenda RWANDA, DRC, BURUNDI, uingiaji wako huko uwe una mashaka, ndio utajua kuwa nchi ya watu sio kitongoji.

Sasa kama uingiaji wake nchini una kasoro washindwe kusimamia sheria ila watangulize ubinadamu zaidi?

likija kulipuka huko utawaambia viongozi wako, eti nilitumia ubinadamu kupindisha sheria, tena kwa mgeni?!!
 
Achana na maneno mengi je DOCOMAAA!!!(Documents) zake zinajitoshereza hilo ndio la msingi kwanza
Ndio maana huwa tunawaona wazungu wana roho mbana kutokana na kusimamia sheria ipasavyo!!huku kwetu eti upindishe sheria kisa ubinadamu!!
 
Hapa ndipo panaposikitisha. Miaka 60 ya uhuru na kituo cha afya hakina surgical gloves!

Amandla...
Unashangaaje Kituo Cha afya kukosa gloves wakati hospitali kabisa ya wilaya amlu mkoa unaambiwa ukanunue syringe nje na maji ya drip halafu MAMA anazunguka tu kuingia mikataba isyoeleweka ni ya nini haswa.....

Bora ndugai ameamua vyema tu kukaa kimya nchi ishauzwa hiii
 
Walijua ana mafaranga walipoona ni kapuku wakachanja mbuga
 
Achana na maneno mengi je DOCOMAAA!!!(Documents) zake zinajitoshereza hilo ndio la msingi kwanza
Ndio maana huwa tunawaona wazungu wana roho mbana kutokana na kusimamia sheria ipasavyo!!huku kwetu eti upindishe sheria kisa ubinadamu!!
Sasa kwa taarifa yako Wazungu wasingemfanyia unyama huyo mama kwnza wangemsikiliza. Kutokana na hali yake ya Ujauzito wakati huo wangehakikisha kwanza anajifungua salama na kupata matibabu salama na ya uhakika.

Akitoka hapo sheria sasa inafata mkondo wake ikiwa ni pamoja na kufanya jitihada kwanza kujua huko alikotoka na huko anakoelekea na ku varify taarifa alizo kuwa anawapa zina ukweli kiasi gani.

Huyo Ndio Mzungu bwana.
 
Walichokataa wamekipata Tayari Dogo aliyezaliwa ni Mtz kabisa
 
Ukimtendea mwanadamu dhambi ujue utailipa simu moja tu. Aidha wewe au uzao wako.
 
Ukiandika kiingereza ndo unakuwa wa ovyo zaidi.
Kiingereza ni lugha tu.

Haiongezi uzito wa hoja kuliko inavyopunguza.

Nilitaka Kagame akisoma uzi huu afahamu kwamba tupo tunaotambua kwamba anaweza kuwa amewatuma ma agent wenye mimba kama ghelesha ya kuvukia mipaka.

Wanajeshi wa Uhamiaji wamefanya kazi kwa mujibu wa vitabu vya mafunzo yao mstari kwa mstari.
 
hakuna uhamiaji wasumbufu kama wa tz ,nimegundua hilo wakuu sijui wanamatatizo gani .sasa huyo mama serious she is not a threat to the nation, kwanin umhangaishe .doesn't make any sense .very inhumane and barbaric shame on them.
Nenda Zambia katembee au Kongo halafu ulete mrejesho.
 
Walichokataa wamekipata Tayari Dogo aliyezaliwa ni Mtz kabisa
Kuzaliwa katika ardhi ya Tanzania hakukufanyi kuwa Mtanzania.

Ila wakati unazaliwa:

Mzazi mmoja wapo au wote wawe raia wa watanzani kwa kuzaliwa.

Mzazi mmoja wapo awe na uraia wa kurithi.

Mzazi mmoja wapo au wote ni raia kwa tajinisi

Huyo mtoto hawezi kuwa raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, kurithi au Tajinisi
Kwa sababu mama atakuwa Mrundi na baba Mkenya.

Watu wanasema ameruhusiwa mpakani Ngara huko ila bira muhuli ambao ni visa huyo mtu hajaruhusiwa.
Lakini pia Kuna njia za panya wenyewe wanaita vipenyo vingi maeneo ya mipaka yetu.

Kuna mtu amehoji je mnajua lengo lake watu kimya.

Je kwa nini wasiamini ni agent kutoka Taifa jingine.

Kuwa mjamzito kunamtoa kwenye hatia.

Kama alishakamatwa tayari alikuwa mtuhumiwa.

Hawezi kutelekezwa na hasa wahamiaji haramu.

Inaonesha mtoa mada ana chuki binafsi na hao watumishi wa serikari.

Uaskari ni kazi ngumu na uwe na roho ngumu na kutoa maamuzi saa.
 
Daaa inasikitisha sana....watafute huyo mchumba usikute akaingia mtini nawajua hao mimi ma bingwa kusepa kukimbia gharama
 
Sijui huwa wanafunzwa vitu gani aisee yaan hawana tofauti Na wahuni
Asilimia kubwa ya majeshi yetu ni failures (la saba & divn four ya 28), sasa ndina kama hao hawawezi kudeal na vitu proffesionally.

Nchi nyingine hasa ulaya wanaweza kwakua sekta ya ulinzi wanaakiliwa watu intelligent.
 
acha uwoga taja ofisi watu washughulikiwe. kuficha ficha huko ndo unaendelea kulea huo ugonjwa.
 
Hii nchi sasahivi nikutibiwa private tu maana kwenye hospitali za serikali ni ujinga mtupu unafanyika, kaugonjwa kadogo kanaweza kukupoteza au kukudhuru kutokana na uzembe wa watumishi ambao wengi ni failures tu.

Mtu alipata div four eti anaenda kusoma nursing au clinical officer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…