Kwani kuna kipengele kinasema business visa ni kwaajili ya kazi ambazo wazawa hawawezi kufanya??
Hakuna hilo business visa ina kanuni zake na sio eti hiyo biashara iwe wazawa hawawezi maana hadi sasa watz tunaweza kila kitu
Halafu hao wanaijeria kwani wako wangapi??? Maana naamini ni wachache mno, achana na mambo ya xenophobia
Kwa Sasa nchi inamatundu kila kona. Wengi wanaingia na kutoka wapendavyo. Uhamiaji ya Leo sio ya mwaka mmoja uliopita.Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.
Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.
Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.
Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.
Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Uhamiaji wapo wapo tu! Ila waambie Kuna kiongozi fulani wa CHADEMA sio raia, fasta!!!WanaJeria wanaiba kwa njia ya Mtandao, wanaweza kuwa Tanzania lakini Mpunga unapigwa Dubai, Taiwan nk lkn ukiwaona wamejazana mahala tambua kuna mifumo dhaifu ya Kimtandao na Ulinzi kwa Ujumla.
All in all hao jamaa siyo wa kukaribishwa
Hahaha ungejua wana hadi vitanbulisho vya Nida huku watz hawana ndo ungeshangaaNiwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.
Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.
Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.
Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.
Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja yuko mwanza anauza spea used za magari, nadhani sheria za JF hazikubali kutaja majina. Aisee huyu tunaita wa mwisho, spea ya 40000 ukienda kwake anakutajia laki moja kama hutaki sepa. Yaani ukienda kwake, unaeza amua kupaki gari tu
Bado hujaopoa mpopo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wivu tu
Eti mitalimbo inawatoshelezaKwani hao dada zetu walioolewa na shemeji zetu wanaijeria wanasemaje?
Mpopo wanini mie Kaka zetu wananitosha..Bado hujaopoa mpopo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]