Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Ni wivu, gubu na akili ya kimasikini a.k.a wanyonge ndio mnawaona wanaigeria, sababu mpo mpo tu vijiweni na kuzurura mjini bila shughuli badala kujishughulisha..... muuza duka Mangi hawaoni, muuza mazao kutoka mikoani hawaoni na sisi mbona hata
We acha kusapoti ujinga.. Tanzania ndo nahisi ni nchi jalala kwa raia wengi wa kigeni..tunaishi kishkaji sana na tunaachia raia wa kigeni mpaka wanajipenyeza kwenye taasisi za kiserikali ..wewe nenda tu hapo Rwanda au Mozambique utaona jinsi wenzetu walivo strict na mambo ya uhamiaji! Raia yyte wa kigen kana hana vibali ni sumu kwenye uchumi wetu!
 
WanaJeria wanaiba kwa njia ya Mtandao, wanaweza kuwa Tanzania lakini Mpunga unapigwa Dubai, Taiwan nk lkn ukiwaona wamejazana mahala tambua kuna mifumo dhaifu ya Kimtandao na Ulinzi kwa Ujumla.
All in all hao jamaa siyo wa kukaribishwa
sasa na wewe unaumiaje hapo ? san sana untakiwa kushukuru uchumi wetu unaimarika? tafuta hela wewe
 
Mama alisha muondoa mtetezi wa nchi kamishina wa kazi na kumuweka kilaza na kubadiri sheria na kupa neema wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiwafukuza wote, haibadilishi kitu kwenye maisha yako
utaendelea kuwa choka mbaya aka mnyonge
ndio maana unaambiwa tafuta hela ili undokane na akili ya kimasikini ya kutafuta mchawi wa umasikini wako.....
 
Wanatuletea Tabia za ajabu ajabu Sana wageni..ndio Mana msomali hataki ndabo za wageni ..mimtu Ina kukhanith kwenye ardhi yako...
 
sasa na wewe unaumiaje hapo ? san sana untakiwa kushukuru uchumi wetu unaimarika? tafuta hela wewe
Uchumi unaimarika wapi na wapi? Hizo fedha za Wizi ndio chanzo cha Mfumuko wa Bei unaolia nao wewe. Pesa zimejazana kitaaa hazina thamani tena. Fikiria Mnigeria anaaamua kuchukua Mil.25 ananunua Kvant kibabe hizo ni pesaaaa au Makaratasi ya Zimbabwe???
 

Wamefungua maduka ya pochi Kariakoo ni balaa
 
Amri ilishatoka kwamba wawekezaji wasinyimwe working permit wala ardhi.

Hao ni wawekezaji.
 
Amri ilishatoka kwamba wawekezaji wasinyimwe working permit wala ardhi.

Hao ni wawekezaji.
 
Na wanajua kushangaa hao...

chaiiiiiiiii!!.....Jesu......Mtumukeeeee......whaaati!!!
 
Kumbe na ww uliona
Haki nilishangaa sana watu wamenunua Moet & Chandon Nectar imperial Rose kama sikosei ambazo bei yake iko juu Imperial Brut....

Nikajiuliza hawa mabishoo mpunga wanautoa wapi jamani???
Kwakweli wachunguzwe usikute ndo watoa figo za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…