Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Pport ni haki ya kila mtanzania..
Unafikiri unaweza ukafanya application
Ya mmb ya scholarship au kwenda kusoma chuo nje...ajira nchi za nje bila kuwa pport taatifa zake

Ova
Ndio ukifika hiyo stage ukaombe uone kama utaikosa.... sioni kama kuna kunyimwa passport, ni utaratibu tuu
Halafu mrangi kwani yako imesha eksipaya!?
 
Kwa bahati nzr watangaika wengine
Mm nmeanza kutumia pport kubandika picha
Nlishachkua mpya kitambo tu...siku 2 ilikuwa tayari

Ova
 
kwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapuungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pemee ndo tunaona passport NI MALI.nchi nyingi haya mambo hayapo.
😃😃😃😃😃 serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
 
Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?

Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimama
 
Kama ni msafiri ukipitia huu uzi ndo utajua watu ambao wanauzoefu na safari na wanaozungukia humuhumu tu. Hii imetolewa kuwakumbusha watu Ila miaka yote ukiomba passport lazima uonyeshe madhumuni ya kuomba passport kama invitation letter, I-20,letter of acceptance ya chuo, barua ya daktari kwa wagonjwa, reference ya malipo ya hotel kwa wanaotalii etc. Na ipo hivyo miaka yote. Ukiruhusu kila mtu aombe passport uhamiaji hapatakalika. Halafu kama huna mpango wa kusafiri passport ya nini!?.. kuwatambia watu uswahilini kwenu!?... Nina uhakika anayebishia hili hajawahi kuomba passport ndo maana hajui ipo hivyo siku zote.
 
Passport ni haki ya kila raia mtanzania.kwanini wafanye kama ni mali yao?.kuna mmalawi ni shamba boy yupo huku kitaa.anakwambia kwao malawi PASSPORT sio ishu.
Ila hapa tanzania mpaka unakufa unaweza usiwe na passport.
Mtu akiwa na passport hata akili ya kutoka nje ya nchi kutafuta maisha inafunguka.
Lakini wao wanataka kila siku tuwe humu humu kama makondoo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
 
Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?

Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ikitokea dharura?
 
Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimama
Hakuna safari ya ghafla, ndo maana kuna temporary passport. Ukiwa na emergency ya kweli Kama vile ugonjwa Kuna procedures zake siku 1 tu unapewa passport. Punguzeni ujuaji. Ninahisi hujawahi kuomba passport kwasababu miaka yote ukiomba passport lazima uonyeshe sababu ya kuomba passport.Acha blabla za passport ni haki ya kila mtu.
 
Mavi yako, msizitoe kabisa zichambieni.
 
Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimama

Passport ni haki ya kila mtanzania ndio, kwa wewe umepata safari lini wakakunyima?
Huku kukimbilia mambo ndio kumewafanya wenzenu wasitishe zile chanjo mlizokua mnazikimbilia.

Mimi jimama nasema fuata taratibu za serikali kupata huduma

Sawa wewe Kadogoo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ujue HUU NI UPUMBAVU.
passport ni haki ya kila raia kuwa nayo.haijalishi una safari au hauna .passport sio mali ya uhamiaji.
Acheni UKOLONI.
Yaani siku nikipata safari ndo nianze kuhangaika kutafuta passport?
Imagine imetokea dharula ya ugonjwa either unaugua au una uguliwa utapata wapi mda wa kufatilia passport?
 
Passport ni haki ya kila raia mtanzania.kwanini wafanye kama ni mali yao?.kuna mmalawi ni shamba boy yupo huku kitaa.anakwambia kwao malawi PASSPORT sio ishu.
Ila hapa tanzania mpaka unakufa unaweza usiwe na passport.
Mtu akiwa na passport hata akili ya kutoka nje ya nchi kutafuta maisha inafunguka.
Lakini wao wanataka kila siku tuwe humu humu kama makondoo.
Kabla ya kulaumu tafuta faida na hasara za utoaji wa passport kwa nchi uliyoitaja.
Au unataka na wewe kwenda kuwa shambaboy sehemu😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom