Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Mavi yako, msizitoe kabisa zichambieni.
Nilijua tu kuwa hujawahi kuomba passport, siku zote lazima uonyeshe madhumuni ya kuomba passport. Na sio ishu kubwa hata ukifanya booking ya hotel South Africa au Botswana au popote mbali kidogo ukapewa kopi ya risiti ni sababu tosha. Ila mpo hapa kupinga kila linaloletwa bila kutumia akili.
 
Acha ushamba we maza, passport ni haki ya kila Raia niwe na safari au sina haiwahusu.
Ushamba gani???? Umetaka pasport ukiwa na safari ukaikosa?
Serikali imekupunguzia mzigo wa kuwa na vitu usivyo na matumizi yake... pata safari upewe pasport
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
Siku nikipata safari itakuwaje wakati pesa ya passport nilisha Ila!? Sometimes kua na passport standby ni muhimu sana,hasa kwa Mabaharia!!
 
Nchi gani nyingine ya maanw ina utaratibu kama huu?

Lakini mambo mengine ni kujikaanga tu. Nchi haina ajira, mambo ni magumu halafu unaweka kauzibe watu kutoka! Unategemea nini?
 
Na mtu mpaka aende uhamiaji ni lazma atakuwa na mipango ya safari.iwe mwezi huu au mwezi wowote.
Siku akiwa tayari anaaamsha tu anaondoka.
Imagine imetokea dharula ya ugonjwa either unaugua au una uguliwa utapata wapi mda wa kufatilia passport?
 
hyo inaamaanisha passport ni TAKA TAKA kama taka taka nyingine.
Nyie hapa tanzania ndo mnaona passport ni KEKI.
Kabla ya kulaumu tafuta faida na hasara za utoaji wa passport kwa nchi uliyoitaja.
Au unataka na wewe kwenda kuwa shambaboy sehemu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.
Duh!
 
hyo inaamaanisha passport ni TAKA TAKA kama taka taka nyingine.
Nyie hapa tanzania ndo mnaona passport ni KEKI.
Passport inabeba thamani ya utu na taifa, Tanzania kama nchi ina taratibu zake katika kulinda ustawi wa raia wake kupitia taratibu kama hizo.

Pole kwa hao wanaifanya kuwa takataka na kuwafanya raia wake takataka
 
Back
Top Bottom