mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Rudi kwenye message zakoRudia tena nilichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi kwenye message zakoRudia tena nilichoandika
Katika watu wameibadilisha hii idara kwa matokeo chanya ni huyu mama. Anastahili pongezi.Idara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai
Uliyoyasema ni kweli kabisa isipokuwa hilo jina lako ndiyo litaondoa uzito wa ujumbe wako.Ujue HUU NI UPUMBAVU.
passport ni haki ya kila raia kuwa nayo.haijalishi una safari au hauna .passport sio mali ya uhamiaji.
Acheni UKOLONI.
Yaani siku nikipata safari ndo nianze kuhangaika kutafuta passport?
Laki na nusuKwani wanatoa bure hizo passport?
Hata mi nashukuru nilishapata yangu mpya!Kwa bahati nzr watangaika wengine
Mm nmeanza kutumia pport kubandika picha
Nlishachkua mpya kitambo tu...siku 2 ilikuwa tayari
Ova
Evidence sasa..Si ndio dhumuni lenyewe hilo?
Hiyo ndo sababu SASA au lengoSisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Wakati ni haki ya kila mtu kikatiba.Fikra za kimaskini kumiliki passport inaonekana ni big deal sana..wakati ni jambo la kawaida
Duuh Polen Ndugu zangu; Ndugu mtoa mada hawajazungumzia Kuhusu expire kwa tulioko Ughaibuni? wamebadilisha Utaratibu? maana nchi yetu hiyo ishakuwa Problemaa, too many changes zisizo na Tija.
Warioba Mashaka,
St. George, Bermuda
Dada sky hii ni hadithi au based on true story?Kuna familia moja ya kishua dada yao mkubwa aliolewa na Mzungu na waliishii Ulaya. Baada ya miaka mingi yule dada alipata saratani. Walimuuguza mpaka mauti yalimfika. Mzungu aliamua mke wake anazikwa Ulaya ili watoto na wajukuu waone kaburi kila wakimkumbuka. Alipiga simu akawaambia anatuma mwaliko wenye passport waende kuomba visa ya kwenda msibani.
Familia nzima hakuna aliyekua na passport kasoro chizi wao mmoja aliyeshindikana. Katika mihangaiko yake alipata pass akaiweka ndani. Siku walizopewa zilikua chache sana ku ku process pass. Mchizi alikua mwanafamilia pekee aliyepata viza na kukwaa pipa kwenda kwenye mazishi ya sister wao.
It’s a true story.Dada sky hii ni hadithi au based on true story?
Ushahidi ndio ishu nyingine, wanataka barua ya admission.
Jipya hapo ni hayo malipo ya Sh. 500,000, huko nyuma hayakuwepo na Passport zilikuwa zinapotea, mengine yote yalikuwepo toka Passport za Tanganyika kwa sababu hiyo ni Hati ya Kusafiria nchi za nje kama husafiri inahitaji ya nini? Labda Wafanyakazi wa Uhamiaji wangekuwa wanaeleza watu wakaelewa maana hata kama mtu ana Passport na nauli ya kwenda Marekani anaweza asiende kwa sababu wakati anapoomba Visa ataulizwa maswali yaleyale anakwenda kufanya nini na hiyo Passport baada ya miaka 10 ni ya kutupwa.Ndio tumefika huko!? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.
wengi kwenye decision making wana dosari