Ndio ukifika hiyo stage ukaombe uone kama utaikosa.... sioni kama kuna kunyimwa passport, ni utaratibu tuuPport ni haki ya kila mtanzania..
Unafikiri unaweza ukafanya application
Ya mmb ya scholarship au kwenda kusoma chuo nje...ajira nchi za nje bila kuwa pport taatifa zake
Ova
Safari ya kwenda wapi na makorona haya?!Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle
View attachment 1727134
Kwa maandishi haya, hakuna ajabu kuona huelewi hoja za watu humuMbona ni kawaida hiyo ipo kitambo sana.Sasa unataka upate passport ili uwende tukuyu ama vipi.
Kutibiwa koronaSafari ya kwenda wapi na makorona haya?!
Kwa bahati nzr watangaika wengineNdio ukifika hiyo stage ukaombe uone kama utaikosa.... sioni kama kuna kunyimwa passport, ni utaratibu tuu
Halafu mrangi kwani yako imesha eksipaya!?
😃😃😃😃😃 serikali imekataa biashara ya hudumakwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapuungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pemee ndo tunaona passport NI MALI.nchi nyingi haya mambo hayapo.
Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimamaSasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
Ukitoa 300000 unaipataBongo bwana...
Na kwa hatua hii itafanya ili upate pport
Itabidi uhonge
Ova
Ikitokea dharura?Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hakuna safari ya ghafla, ndo maana kuna temporary passport. Ukiwa na emergency ya kweli Kama vile ugonjwa Kuna procedures zake siku 1 tu unapewa passport. Punguzeni ujuaji. Ninahisi hujawahi kuomba passport kwasababu miaka yote ukiomba passport lazima uonyeshe sababu ya kuomba passport.Acha blabla za passport ni haki ya kila mtu.Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimama
Mavi yako, msizitoe kabisa zichambieni.Hakuna safari ya ghafla, ndo maana kuna temporary passport. Ukiwa na emergency ya kweli Kama vile ugonjwa Kuna procedures zake siku 1 tu unapewa passport. Punguzeni ujuaji. Ninahisi hujawahi kuomba passport kwasababu miaka yote ukiomba passport lazima uonyeshe sababu ya kuomba passport.Acha blabla za passport ni haki ya kila mtu.
Wewe jimama, passport ni HAKI ya kila mtanzania, either uwe na safari au hauna, mfano unapata safari ya ghafla eti uanze kutafuta temporarily passport na wakati ungekua nayo tangu mwanzo ungeepusha stress, sasa unaniambia safar itokee ndio nianze kuapply passport, unless kama itatoka ndani ya nusu SAA hapo Sawa. Sawa jimama
Imagine imetokea dharula ya ugonjwa either unaugua au una uguliwa utapata wapi mda wa kufatilia passport?Ujue HUU NI UPUMBAVU.
passport ni haki ya kila raia kuwa nayo.haijalishi una safari au hauna .passport sio mali ya uhamiaji.
Acheni UKOLONI.
Yaani siku nikipata safari ndo nianze kuhangaika kutafuta passport?
Acha ushamba we maza, passport ni haki ya kila Raia niwe na safari au sina haiwahusu.Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu😃😃😃😃
Kabla ya kulaumu tafuta faida na hasara za utoaji wa passport kwa nchi uliyoitaja.Passport ni haki ya kila raia mtanzania.kwanini wafanye kama ni mali yao?.kuna mmalawi ni shamba boy yupo huku kitaa.anakwambia kwao malawi PASSPORT sio ishu.
Ila hapa tanzania mpaka unakufa unaweza usiwe na passport.
Mtu akiwa na passport hata akili ya kutoka nje ya nchi kutafuta maisha inafunguka.
Lakini wao wanataka kila siku tuwe humu humu kama makondoo.