Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Hii serikali ina vichaa kweli. Itafika siku ili upate driving license lazima uwe na gari unalolimiliki
 
Sasa kama kitambulisho cha uraia ulikitengenezea Dar cheti chabkuzaliwa ulikitengenezea Mara ukaweka taarifa tofauti nalo pia ni kosa Duu..
 
Rubbish. Pasi ya kusafiria ni haki ya kikatiba kwa kila mwananchi kuwa nayo, regardless ya kutaka kusafari.
 
Ndio tumefika huko!? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.

Ofcoz ndo tumefika huku...

Labda hujaelewa maana ya kauli na uelekeo wake...

Hapa wanatafuta namna tu ya ku - invoke passport za watu kama Tundu Lissu, Godbless Lema, Evariste Chahali nk

Nothing more, nothing less...

Yaani tumefikia hatua sheria àu katiba au utaratibu fulani unaweza kubadilishwa kwa ajili ya kumshughulikia mtu mmoja tu bila kujali athari za jamii pana...

This is absolute dictatorship...
 
Kuongozwa na mwanamke sio swala kabisaaaa kwenye fomu ya maombi kuna sehemu ya dhumuni la safari ambalo unaweza kujaza masomo ,biashara, matibabu etc. sio kitu kigeni kwahiyo Mama Anna Makakala aka single lady mnamuonea kabisaaaa mama wa watu na macho yake yale . point yako imekaa kimfumo dume zaidi.
Sababu ya safari na viambatanisho vya safari yaondolewe tu kwenye kuomba passport waachiwe ofisi za ubalozi wanaotoa VISA mtu anakotaka kwenda iwe kwa masomo,biashara ,kwa matibabu nk sio kazi ya mtoa passport hiyo.Wewe toa yaliyobaki mwachie mhusika akapambane ubalozini mwenyewe
 
Sisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Si hilo ndilo dhumuni la safari - kwenda kusoma - ambatanisha hiyo fomu na kila kitu kitakuwa sawa
 
Ofcoz ndo tumefika huku...

Labda hujaelewa maana ya kauli na uelekeo wake...

Hapa wanatafuta namna tu ya ku - invoke passport za watu kama Tundu Lissu, Godbless Lema, Evariste Chahali nk

Nothing more, nothing less...

Yaani tumefikia hatua sheria àu katiba au utaratibu fulani unaweza kubadilishwa kwa ajili ya kumshughulikia mtu mmoja tu bila kujali athari za jamii pana...

This is absolute dictatorship...
WE WA AJABU SANA
 
Haina mjadala ndivyo ilivyo na Sheria ndivyo ilivyo, ni lazima kuwe na cause of action ili jambo litimie, refer newton third law, btw passport = an official document issued by a government, certifying the holder's identity and citizenship and entitling them to travel under its protection to and from foreign countries. so mhamiaji afisa yuko sahihi 100%
 
Huu ni ujinga wa mwisho pass port ni haki kwa raia yyote ambae ni raia husika wa nchi na vile vile ni kuntroli rai wao kuna nchi mtoto akizaliwa tu basi anapewa passport yake au kwa kipindi cha uchanga wake anatiwa katika passport ya mama ake jina lake .Sasa kusema mpaka uwe na safari ni upumbavu wa mwisho passport ina matumizi kibao ni hati thabiti ya kufanya mambo mengi .vitambulisho vya NIDA its local si international sababu havina sifa ya kimataifa .vitambulisho vya kimataifa hivi sasa viko chip ambayo ina soma data zako .
 
Si hilo ndilo dhumuni la safari - kwenda kusoma - ambatanisha hiyo fomu na kila kitu kitakuwa sawa
Anaambatishaje fomu wakati iko online na sio printable? ina tu button ya submit kwa mhusika ukifika mwisho? Sasa ndio yuko tu kwenye kidirisha kidogo kinachoonyesha jaza namba ya passport ili uende dirisha next haiendi inakwamia hapo sasa akuletee fomu gani au unafikiri mtu akiomba scholarship au kazi nje ya nchi online fomu analetewa kupitia sanduku la posta kama zamani enzi zenu? Ndio unasema jaza uilete copy kama ushahidi? aiseee kazi ipo puuuuu kitengo cha passport kazi mnayo si kwa ujinga huu
 
SCREEN SHOT OR PRINT-
Mkuu passport ni hati ya kusafiria wala siyo kitambulisho kwa jiyo kama huna safari haina maana yoyote labda hapa kwetu tu kwa sababu ya matumizi mabaya ya passport kinyume cha madhumini yake. Hili ndilo uhamiaji wanajaribu kulirekebisha- ni ngumu ila wako sahihi.
 
Back
Top Bottom