Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tumefika huko!? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.
Sababu ya safari na viambatanisho vya safari yaondolewe tu kwenye kuomba passport waachiwe ofisi za ubalozi wanaotoa VISA mtu anakotaka kwenda iwe kwa masomo,biashara ,kwa matibabu nk sio kazi ya mtoa passport hiyo.Wewe toa yaliyobaki mwachie mhusika akapambane ubalozini mwenyeweKuongozwa na mwanamke sio swala kabisaaaa kwenye fomu ya maombi kuna sehemu ya dhumuni la safari ambalo unaweza kujaza masomo ,biashara, matibabu etc. sio kitu kigeni kwahiyo Mama Anna Makakala aka single lady mnamuonea kabisaaaa mama wa watu na macho yake yale . point yako imekaa kimfumo dume zaidi.
Si hilo ndilo dhumuni la safari - kwenda kusoma - ambatanisha hiyo fomu na kila kitu kitakuwa sawaSisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Linani hiloo
SI HILO NDILO DHUMUNI LA SAFARI-KWENDA KUSOMA- AMBATANISHA HIYO FOMU NA KILA KITU KITAKUWA SAWA
WE WA AJABU SANAOfcoz ndo tumefika huku...
Labda hujaelewa maana ya kauli na uelekeo wake...
Hapa wanatafuta namna tu ya ku - invoke passport za watu kama Tundu Lissu, Godbless Lema, Evariste Chahali nk
Nothing more, nothing less...
Yaani tumefikia hatua sheria àu katiba au utaratibu fulani unaweza kubadilishwa kwa ajili ya kumshughulikia mtu mmoja tu bila kujali athari za jamii pana...
This is absolute dictatorship...
tena huyo ni wa ajabu jabinaWE WA AJABU SANA
Ficha umbumbu wako mjingakwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pekee ndo tunaona passport NI MALI.nchi nyingi haya mambo hayapo.
ficha umbumbu wako mjinga
Anaambatishaje fomu wakati iko online na sio printable? ina tu button ya submit kwa mhusika ukifika mwisho? Sasa ndio yuko tu kwenye kidirisha kidogo kinachoonyesha jaza namba ya passport ili uende dirisha next haiendi inakwamia hapo sasa akuletee fomu gani au unafikiri mtu akiomba scholarship au kazi nje ya nchi online fomu analetewa kupitia sanduku la posta kama zamani enzi zenu? Ndio unasema jaza uilete copy kama ushahidi? aiseee kazi ipo puuuuu kitengo cha passport kazi mnayo si kwa ujinga huuSi hilo ndilo dhumuni la safari - kwenda kusoma - ambatanisha hiyo fomu na kila kitu kitakuwa sawa
Acha ubaguzi wako wa kikoloni mwanamke maana yake niini umesoma kweli weweIdara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai
SCREEN SHOT OR PRINT-Anaambatishaje fomu wakati iko online na sio printable? ina tu button ya submit kwa mhusika ukifika mwisho? Sasa ndio yuko tu kwenye kidirisha kidogo kinachoonyesha jaza namba ya passport ili uende dirisha next haiendi inakwamia hapo sasa akuletee fomu gani au unafikiri mtu akiomba scholarship au kazi nje ya nchi online fomu analetewa kupitia sanduku la posta kama zamani enzi zenu? Ndio unasema jaza uilete copy kama ushahidi? aiseee kazi ipo puuuuu kitengo cha passport kazi mnayo si kwa ujinga huu