Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Nikuulize tu YEHODAYA . Hivi nje ya mipaka yetu hicho kinida kinatambulika na kuheshimika ?!. Kama ukiwa popote duniani ukitoa passport tena hii ya kisasa (electronic) taarifa zako zinajulikana popote, kwanini ofisi zetu wenyewe iidunishe passport yetu ?!Uongo
Ukiwa mgeni sawa lakini mwenyeji kitambilisho kikubwa na cha NIDA
Wewe ndio huelewi boss, naomba tafuta maana ya passport kwenye literatures usieleze vile unavyoelewa wewe.Kumbe na wewe upo mtupu upustea! Maana ya Passport au pasi ya kusafiria ni nini? Je, kwenye maofisi hayo unakuwa unasafiri nje ya nchi?
Naomba tupe references.Hii inaitwa, Passport ni travelling document, sio Identity card. Ni kitambulisho cha nje ya nchi.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Passport ya Tanzania anaweza kuipewa mtu asiye raia wa Tanzania ?Maana sio Nida haikutambulishi vizuri kama mtanzania ila inakutambulisha ukisafiri tu nchini mwa watu ndio maana Kuna passport na Kuna Identification Card so ni vitu tofauti sana ndio maana watu waliokuwa hawana uraia wanalipia uraia huo
... who, where, when, why, how! Which one is being discussed in this thread? Maana naona kama tunachanganya mambo.Postalcode haipo, ambayo inakutambulisha zaidi makazi yako
Mkorofi tu huyo ndio maana wamemgomea kumpa huduma
Passport mtu hapati hadi awe na kitambulisho cha NIDA kwa nini asiprleke hicho kitambulisho kakomaa tu kuwapa passport?
NIDA anayo kinachomfanya akomae kuwa lazima wakubali passport ni nini?
Waliomkatalia kumpa huduma wako sahihi
Mkuu kwani NIDA wapi chini ya nani kama sio haohao uhamiaji yaani hapa tukubali tukatae hili linchi linamambo ya kiwakiSababu ni kuwa hakuna intergration kati ya Uhamiaji na hizo Ofisi.
Ofisi zote huchukua taarifa kutoka NIDA including Uhamiaji...
Afu usijipe umuhimu usio na lazima maana huwezi pata Passport bila kuwa na NIDA unless ni under 18
Hili hutokea only kwenye nchi ambayo haiheshimu utawala wa sheriaNimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Sababu dhaifu.Kwanza kuipata unaambiwa lete barua ya muariko wa unakotaka kwenda hapo palipo na shida kumbe huwezi kuipata bila sababu ya kutoka nje
Ujuaji mwingi, fanya utafiti! Kila nchi na masuala yake. Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho kwa raia isipokuwa kwa mhamiaji au Mgeni! Kwa uwanja wako wa kujidai -gesi na mafuta hatutii neno ila unapokuja tunapojua, ukiteleza tunakupa tuWewe ndio huelewi boss, naomba tafuta maana ya passport kwenye literatures usieleze vile unavyoelewa wewe.
Kuna baadhi ya nchi hata hiyo NIDA ni kitambulisho cha kusafiria.
Nida wako Wizara ya Mambo ya NdaniMkuu kwani NIDA wapi chini ya nani kama sio haohao uhamiaji yaani hapa tukubali tukatae hili linchi linamambo ya kiwaki
Kwanza ni ushamba kutembea na passport kama kitambulisho wakati ili upate passport inakubidi uwe na ninUjuaji mwingi, fanya utafiti! Kila nchi na masuala yake. Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho kwa raia isipokuwa kwa mhamiaji au Mgeni! Kwa uwanja wako wa kujidai -gesi na mafuta hatutii neno ila unapokuja tunapojua, ukiteleza tunakupa tu
Vijana bwana, shida tupu! Afadhali tudange na akina Antonnia tu walioisha kongorokaKwanza ni ushamba kutembea na passport kama kitambulisho wakati ili upate passport inakubidi uwe na nin
Naomba fuatilia nchi zingine boss uone kama passport sio kitambulisho. Fuatilia UK, CANADA, etc.Ujuaji mwingi, fanya utafiti! Kila nchi na masuala yake. Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho kwa raia isipokuwa kwa mhamiaji au Mgeni! Kwa uwanja wako wa kujidai -gesi na mafuta hatutii neno ila unapokuja tunapojua, ukiteleza tunakupa tu
Acha ushamba basi kama huelewi bakia hivyoo hivyoo nakupa maelezo mazuri hausikii unauliza maswali kaulize ofisini Sina energyPassport ya Tanzania anaweza kuipewa mtu asiye raia wa Tanzania ?
Lakini amekuuliza vizuri tu. Ulipaswa kumjibu kama inawezekana au haiwezekani. Na ukiingalia passport ina details zote ambazo zipo kwenye NIDA.Acha ushamba basi kama huelewi bakia hivyoo hivyoo nakupa maelezo mazuri hausikii unauliza maswali kaulize ofisini Sina energy