Uchaguzi 2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

Uchaguzi 2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

Mafala tu tupo nao mtaani wanatuomba bia Hali ya maisha yao ngumu wanakimbizana wageni kwenye magesiti ili wapate mlo uchumi wa kati wengine wa kike wanatoa bira shida
 
Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.

Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.

Source: Baragumu Channel ten
Hiyo idara,ya uhamiaji inatunika kisiasa......

Kwani nani asiyejua kuwa Askofu Kakobe alianza kupata msukosuko wa Uraia wake wakati alipomwambia Jiwe anapaswa Kutubu, kutokana na madhambi mengi anayofanya katika utawala wake?

Hivi mtanzania gani asiyejua kuwa Yule Mkurugenzi wa Twaweza, alianza kupata msuko suko wa uraia wake kutokana na kutoa ripoti ya utafiti wao, ulioonyesha kuwa umaarufu wa Magu, umeshuka kwa kiwamgo kikubwa sana?
 
Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.

Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.

Source: Baragumu Channel ten
Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
 
Huyo Msemaji wa Idara naona kachoka Na ajira yake, Maana SASAHIVI atagusa boss wake. Siku zake zinahesebika labda Boss kubwa Asisikie taarifa hii.
 
Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.

Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.

Source: Baragumu Channel ten
Kuna mhutu anatudanganya yeye ni msukuma, afuatiliwe kwa umakini
 
Hawa Uhamiaji hawa ?, kwahio huyo mtu ambaye sio Raia mpaka anagombea uongozi it means yupo hapa muda mrefu, swali linakuja kwanini yupo hapa muda mrefu na hajasaidiwa kurudishwa kwao?

Issue kwa Uhamiaji inabidi isiwe kutenguliwa bali ni kuhakikisha hakuna watu ambao hawatakiwi kuwepo nchini....
 
Nkuruzinza ni mtanzania ...mbona CCM wengi ni wahamiaji?Maskini mzee Mangula Wahutu walitaka kukuondoa !
HAWA UHAMIAJI NI WA-S-E-N-G-E wanapanga kuengua wagombea kwani wao ni NEC?(Tume ya Taifa ya Uchaguzi)
mtu mpumbavu kama huyo aliteuliwaje kwenye hiyo nafasi ya usemaji wa Migrations Tanzania?
 
Ni Yale maneno ya Katambi kuwa Lissu ni raia wa Ubelgiji
 
Back
Top Bottom