Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama walimruhusu mtu wa Burundi ashike madaraka , watulize mshonoKuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walimruhusu mtu wa Burundi ashike madaraka , watulize mshonoKuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Burundi ndiyo marafiki pekee tulionao kwa sasa, kumbe tuna blood connection!Sisi tunamuongelea huyo ambaye babu yake mzaa baba yupo Burundi. Yani baba yake alihamia Tanzania kutokana na kusaka malisho ya mifugo.
Hahahaaaa........!Uhamiaji wakiwa Makini kuchunguza Wagombea ubunge wa Kigoma mjini basi Ccm itapita bila kupingwa huko mwaka huu
Hiyo idara,ya uhamiaji inatunika kisiasa......Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten
Mafala tu tupo nao mtaani wanatuomba bia Hali ya maisha yao ngumu wanakimbizana wageni kwenye magesiti ili wapate mlo uchumi wa kati wengine wa kike wanatoa bira shida
Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa TanzaniaIdara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten
Thibitisha!Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
Kuna mhutu anatudanganya yeye ni msukuma, afuatiliwe kwa umakiniIdara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten
Yupi uyoKuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Kwani Mpango ni mtanzania?Uhamiaji wakiwa Makini kuchunguza Wagombea ubunge wa Kigoma mjini basi Ccm itapita bila kupingwa huko mwaka huu
Hata karagwe kwa kina BashungwaNgara, Mkinga, Sirari, Holoholo
Maeneo Ni Mengi Sana
Duuu watu wana hasira vibaya sanaPengine wanataka kumuengua kwa style hiyo ili kumuepusha na aibu.
Tukijua hilo lazima tukamnyang'anye tausi wetu wale aliojimilikisha mwenyewe