Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
20,537
Reaction score
31,729
Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.

1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.

2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.

3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?

As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
 
Kwenye hili la kuchelewa kuchukua maamuzi nakubaliana na ww kabisa, nimewahi kuhoji humu. Pia suala la kuzingatia muda hata kwenye press zao ni tatizo sugu. Kitengo cha habari ni kama kimekufa kwani naona hata website iko down!

Mambo haya na madhaifu mengine kadhaa ndio yanapelekea mimi kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni
 
Tindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCM
 
Ningetaka kujiunga CCM ningeshajiunga muda mrefu kwelikweli. Sintokaa nijiunge na chama cha majizi, kilichoitia nchi hii umasikini,na kufanya watu wajinga.
 
Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.

1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.

2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.

3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?

As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Ujumbe umefika mkuu
 
Tindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCM
Tuje kushiriki mauaji ya Raia ?

2183704_IMG_1183.jpg
 
Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.

1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.

2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.

3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?

As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Mada zenye tafakuri ya kina, siyo kama zile za akina 'Babtisti'. Sijamtaja 'John' hapo.

Lakini pamoja na mada fikirishi kama hii, nadhani wakati umekwishasonga mbele zaidi baada ya hayo mambo waliyoshindwa kuyaamua kwa wakati CHADEMA.
Sasa hivi wanakabiliwa na tatizo zito zaidi, 'an existintial problem itself, than anything else'.
 
Sasa hivi ninaungana nawe katika hili.

Ni wakati mwafaka kabisa.
Kuna chawa ndani ya chama wanawajaza hofu wenzao kuwa mbowe akiachia uongozi chama kitanunuliwa na ccm.

Wanataka tuamini kuwa hakuna mwenye uwezo kuongoza, isipokuwa mbowe.

Wanasahau kuwa naye ni mwanadamu, na wakati wake ukifika ataondoka duniani.
 
Back
Top Bottom