juve pauly
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 506
- 433
Acha kutetea ujinga mkuu, kwa hiyo kama Brazil wanauana ndio na sie tuuane? Unatumia nini kufikiri wewe ndugu[emoji51]acheni ushamba fuatilieni ligi ya brasil, Argentina au Urusi mtaniambia watu wanachapana mpaka kuuana na wanaharibu uwanja sembuse bongo
Ningekuwa mm natoa adhabu basi ningempa adhabu hiyo refa haiwezekani goli la ukweli la ajibu anasema sio goli,goli la tambwe la mkono wa wazi kabisa anasema goli unategema nn kitatokea kwa mechi kubwa kama hii
Refa achunguzwe hana undugu na refa wa siasa za zanzibar kweli!Refaa mpewe na bado mshindwe kushinda...sasa mnataka point...nyie viazi kweli
Mimi ni simba ila SIHALALISHI ujinga kwa kusema mbona fulani nae anafanya!!Roho mbaya aijengi, vurugu zipo duniani kote, fatilia mechi za America ya kusini sehemu zenyewe zenye wahuni.
Wanaume wa dar hao bora makao makuu yahamie dodomaHivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba.
Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza.
Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tenaView attachment 410423View attachment 410424View attachment 410425View attachment 410426
Nadhani bila mashabiki kuonyesha hasira hizo leo refa angetoa kadi nyekundu zaidi ya moja.Nakama waamuzi ndio hawa,iko siku hali itakuwa mbaya sana uwanjani!
Tambwe mtu mbaya sana, kagoli kamoja tu viti kwachukwachu. Siye tulimiminwa 5 na hatukurusha hata chupa. Mjifunze ustaarabu wa matopeni, haya lipeni fine na mabomu juu...