kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Bahati yenu mmebebwa kama kawaida yenu lakini mkwara wa mashabiki umemtisha refa asiendelee kuwabeba na mmezidiwa na watu tisa uwanjani mibaba mizima!Hatupendi ujinga sisiNasikia leo mnafanya sherehe ya kutoa sare na WAKIMATAIFA WENYE SOKA LAO BONGO .........Hongereni, angalau soka lenu linaanza kuja kwa mbaaaaaaali.
Mmeona la mkono halitoshi mnataka point za mezani. Sukuhizi hazipogi hizoSimba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Chaneta kazi yenu ubondiaWamchangani ni kawaida yao kuharibu viti hii sio mara ya kwanza
Wakimataifa wanafungwa na stand timu ya wapiga debe.Nasikia leo mnafanya sherehe ya kutoa sare na WAKIMATAIFA WENYE SOKA LAO BONGO .........Hongereni, angalau soka lenu linaanza kuja kwa mbaaaaaaali.
Ustaarabu Chaneta?Tambwe mtu mbaya sana, kagoli kamoja tu viti kwachukwachu. Siye tulimiminwa 5 na hatukurusha hata chupa. Mjifunze ustaarabu wa matopeni, haya lipeni fine na mabomu juu...
Sio sehem yake hapa. Umepoteawanaweza kuwa ni vijana wa ukawa walienda kumalizia hasira zao za ukuta pale labda
Kamuulize Mwamuzi anamajibu juu ya povu lakoHakuna ujinga mbaya Kama huu, MTU yeyote mwenye akili hawezi kutetea upumbavu huu.
Kama tutaacha ujinga huu uendelee ipo siku watu watachoma moto uwanja na kusababisha madhara makubwa Sana kwa taifa hili.
Hivi jiulize Kama mechi hii ingekuwa inachezwa uwanja wa simba huko bunju halafu mashabiki wakafanya hivi je uwanja huu ukichezwa mechi tano simba ikifiungwa ingekuwa na viti vingapi
Chaneta vs David BeckhamUkicheza na mbovu na ww utaonekana mbovu.
SIMBWA KOKO bado ni Ile Ile.
Kamuulize Malinzi
Hawa Simba SC ni genge la wahuni tu!
Sasa kila mtu/shabiki akiona alidhiki na maamuzi ya refa aanze kung'oa viti...?
Kwahiyo wew unataka uuawe uwanjani sio, hizi akili za akina profesa pumba kabisaa sijui mnazitoa wapiacheni ushamba fuatilieni ligi ya brasil, Argentina au Urusi mtaniambia watu wanachapana mpaka kuuana na wanaharibu uwanja sembuse bongo
Sema Simba na Chaneta.
Hapana haiwezi kuwa mbaya zaidi. Naona punde tu TFF itaanza kupiga Marufuku wavuta Bangi kuhudhuria Mtanange wowote ule wa Simba na Yanga...
na kunywongwa juuYani ndo mana wakienda nchi zingine wanakamatwa