Hiyo sheria imeanza lini, mbona unapepesuka mkuu, unadhani Jamali anaweza akaamua tu, ingawa siiungi kitendo kille.Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Kwa hivyo Kila klabu ikiona refa achezeshi vyema iwaamuru Mashabiki waanze kung'oa viti ili refa awe anachezesha vyema...?
Ni Marefa wangapi wamejirekebisha tangu muanze kung'oa viti......?
Kwa nini wang'oe viti? Ushamba huu hadi lini?simba imeonewa, ingefaa hiyo M5 alipishwe huyo refa aliye sababisha mashabiki wangoe viti
Nashangaa !!!Kwa hiyo unahalalisha upuuuzi??
Nmependa comment yako na nakusupport ng'oa hata nusuMimi nawaomba Simba siku nyingine tujitahidi hata kungoa zaidi ya nusu labda tutasikilizwa tumelalamika vyavkutosha sisi ni wa kuonewa tu...au sisi ndiyo watakatifu sana huyo refa siku nyingine angalau apate hata kikofi...
Nakubaliana na kila mdau anayetetea, Mimi mwenyewe nimeumia lakini kwa nini hasira ziishie kwenye viti? Wanamkomoa Nani sasa? Hiki kitendo ni lazima kilaaniwe. Hizo pesa ambazo zingesaidia hiyo wanayojidai timu yao inamegwa kulipia upumbavu na ujinga walioufanya, mhhhhhhNyie mnaoponda ni mashabiki wa Yanga. Kwa mechi Kubwa Kama ile na maamuzi mabovu vile, ubinadamu unakutoka kwa muda unaweza fanya lolote.
simba si timu ya kwanza kuonewa, DSM,Tanzania,EA,AFRIKA NA DUNIANIsimba imeonewa, ingefaa hiyo M5 alipishwe huyo refa aliye sababisha mashabiki wangoe viti
Hata kwenu ulaya haya mambo yapo ewe mtu mweupe.Hivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba. Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza. Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tena.
Hiyo ndiyo maana ya mtu mweusi. Ustaarabu ni zero. Maana sijui wanafikiria kutumia nini, viti vina uhusiano gani na mchezo?? Lakini tatizo jinngine ninaloliona, kwann hivi viti ni rahisi sana kung'olewa? Nafikiri kuna tatizo la ubora pia katika ufungaji.
Unahisi kuwa TFF wanausoma huu uzi? Naona unatoa maoni kinyemela [emoji4] .Hakuna barafu ya moto dunia nzima =hakuna kitu kama hicho TFF.Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Wehunamacho inamaana hata upande wasimba nao utasema yanga walienda kungoaWamatopeni hawako sawa vichwani mwao,viti vinahusika vipi hapo ........????
Wamezoea yale ya chooni yale ya mpenzi revola [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]Ni Aibu sana kutumia mkono kisha kupata bao .