Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi

na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?
Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi

na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!