LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mtoa mada yuko sahihi,kwa sisi wataalam wa lugha huwezi kujipa salutation mwenyewe.mfano huwezi kusema my name is Mr Mdukuzi,utasema my name is Mdukuzi,ila mtu baki yuko sahihi kuniita Mr Mdukuzi
Angeipeleka kwenye jukwaa la lugha. Nadhani ni sanaa ya lugha tu, sio ishu ya kuanzishia uzi
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Mbona alishatenguliwa na hakuweweseka ?
Ukiona inauma ichomoe
 
Sahihi kabisa. Wewe tuu umemwelewa Cute Wife siyo hao wajingawajinga hapo juu aina Covax na Tlaatlaah wanabwabwaja tu wakati mleta mada yupo very clear.
relax bas gentleman, tuliza mihemko mungwana,

wala huna haja kubabaika na jambo dogo kama hilo. Mh.Ummy anafanya kazi nzuri sana ya maendeleo pale tanga,

nami mh. Tlaatlaah naendelea kuchapa kazi ya wananchi bila kuchoka wala kukata tamaa licha ya changamoto mbalimbali ninazo kumbananazo,

by the way, kwani kuna ubaya gani 🐒
 
Kwa Bongo waheshimiwa ni hawafiki watano. Kwa haraka haraka ni Mh.Mbowe na Mh. Lissu
hao si makamanda wa Chadema gentleman?

wamepata uheshimwa lini na walijivunjia na kutupwa nje ya heshima kitambo tu 🐒
 
Nadhani mleta mada anamaanisha, huyu ndg. Mwalimu kaandika kana kwamba kamuandikia mtu mwingine!

Labda alipaswa ndg. Ummy aandike hivi, "Leo nimeshiriki matembezi...."
waliokurupuka kumshambulia mleta uzi walikua wanakomenti bila kujipa tafakari ya kuelewa. sasa inatia mashaka akili za watu wetu ikiwa suala dogo kama la mleta uzi wameshindwa kuielewa hoja yake wakizidiwa na mimi F4 ya King'ori
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Ni namna yake ya kujibrand,hakuna tatizo hapo
 
😹😹😹 huu ni uzembe tena wa hali ya juu Mkuu, wala si bahati mbaya kwa huyo aliyeenda present... kwa Ummy yeye ni public figure lazima ajue nini kinaenda huko duniani kuhusu yeye, anaweza kuwa na mtu wakufanya hivyo au anaweka mwenyewe, sehemu ile ni sensitive sababu inabeba pia utu wake, asipokuwa anaangalia siku litaenda boko kweli kweli abaki uchi
hawa mabos wengine ni vipengele, unakuta kuandaa report ya kazi aliyoagiza ifanyike hawezi, bado unamuandalia ile kupitia tu aone kama kuna sehemu za kufanyia marekebisho au kujua umeandika nini kabla hajaenda kwenye kikao hafanyi hivyo sababu tu anamuamini muandaaji.
 
Nadhani mleta mada anamaanisha, huyu ndg. Mwalimu kaandika kana kwamba kamuandikia mtu mwingine!

Labda alipaswa ndg. Ummy aandike hivi, "Leo nimeshiriki matembezi...."
Swadaktaa! Yaani hiyo akaunti ni ya Ummy hivyo alitakiwa atumie nafsi ya kwanza umoja umoja yaani "mimi" badala ya nafsi ya pili "yeye".

Lakini inawezekana akaunti ikawa ya Ummy lakini kampa mtu akili nzito amwandikie na ampostie mwisho wa siku kachanganya mambo!
 
Maisha bwana, inabidi upige zumari ili uonekane tena, aisee tukuze watoto wawe na uwezo kiakili wakujisimamia na sio kulamba lamba watu ndio uweze kuishi, ukitolewa nje ya mchezo hauna ujanja

crossing the Atlantic, sailing through the storm tonight, hakuna kubebwa wala kulambalamba, your pay is determined by your competency and ability to take risk.
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Hayo ni matunda yanayo tokana na viongozi walio pata uongozi kwa kutumia tobo zao mbili za chini na si akili zao vichwani.
 
Una hoja sema hujaieleza bayana. Nadhani unamaanisha, akaunti binafsi inatumia NAFSI YA TATU BADALA YA NAFSI YA KWANZA, sio?
 
Umenikumbusha mbali. Kuna siku niliowahi kumsikia kiongozi mmoja anajitambulisha mbele za watu, sikumbuki alisema "Mr. ...." au "Mheshimiwa ........". Nilishangaa sana. Tena kama namkumbuka hivi kwa mbali.
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Jiite na wewe uridhike kama unaona ni rahisi.
Wakati wa kampeni wenzako hata usingizi hauji huku wewe unakoroma kitandani kwako.
Chukua form 2025 ndo utajua kwanini anajiita Mhe.
 
Back
Top Bottom