LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
ni jambo la kawaida sana kujiadress mwenyewe kulingana na status yako,
mathalani hata mimi baadhi ya wananchi hunisema wapendavyo kwamba mh. Tlaatlaah yuko hivi au yuko vile, na kwakweli ni uhuru na haki yao kusema hivyo..

hata hivyo mimi mwenyewe ni mh.Tlaatlaah🐒
Sawa muheshimiwa wa JF
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Umekurupuka kuanzisha uzi, mbunge nadhani hupewa heshima ya uheshimiwa pia ni mwanadheria, wana sheria huitwa waheshimiwa , (addressed as honorable),
 
Yaani kumbe shida ni hiyo? Vyuo vya certificate vifunguliwe tu tubaki wachache
🤣🤣😹 Mkuu bwana, kwahiyo unaniona bozooo kuleta mada hii hapa😆😆 anyhu, uheshimiwa mtamu, alichoweka hapo na utendaji wake wakati wa uwaziri na kutenguliwa kwake unaonesha hilo, hawafanyi kazi kwaajili ya wananchi, ni ili waendee kubaki na uheshimiwa wa juu kabisa
 
Sawa ni muheshimiwa sasa ndo ajiite hivyo mwenyewe duh ni sawa na mie kuandika leo mkuu numbisa ameshiriki kuchati na BUKU 1 800 katika mtandao wa jamii forum na mkuu numbisa kufanikiwa kuboresha mjadala husika
Still bado ni muheshimiwa sio yeye hata wengine kwenye page zao hujiaddress hivyo sawa muheshimiwa Numbisa
 
🤣🤣😹 Mkuu bwana, kwahiyo unaniona bozooo kuleta mada hii hapa😆😆 anyhu, uheshimiwa mtamu, alichoweka hapo na utendaji wake wakati wa uwaziri na kutenguliwa kwake unaonesha hilo, hawafanyi kazi kwaajili ya wananchi, ni ili waendee kubaki na uheshimiwa wa juu kabisa
Sasa hapa ndio unapoleta mkanganyiko hii ni personal attack una lako jambo na Muheshimiwa Ummy Mwalimu au alikunyima kazi ya kumuandikia kwenye page zake?
 
Wewe ndio umetafsiri tofauti.hata wewe ukitaka kujiita mheshimiwa kwenye level ya familia yako unaweza kujiita tu bila kuathiri jambo lolote.
Mbali na kutoelewa maelezo hata picha pia imekushinda Mkuu😹😹, au nimeandika kilugha hadi wengi mnamiss the point🤔
 
Sasa hapa ndio unapoleta mkanganyiko hii ni personal attack una lako jambo na Muheshimiwa Ummy Mwalimu au alikunyima kazi ya kumuandikia kwenye page zake?
Personal attak kwa kusema aache wengine wanaoona anastajili wamuaddress kama mheshimiwa?🤣🤣😆 leo kweli nimewakera :KEKLaugh: :KEKLaugh:
 
Soma tena uelewe
Mwanasheria msomi huitwaje. He is a Lawyer by professional, how would you address a senior lawyer

Siwezi kufikiri unavyotaka wewe mimi napenda sana kuelimisha jamii nawiwa kufanya hivyo na sipendi kuona mtu akipotosha jamii
 
Kamuita nani na account ni yake?🌚
"Suala la kuchanganya picha za kuzusha zinazorushwa katika mitandao. Ndugu zangu Watanzania, kama kunarushwa picha ya uongo katika mitandao. Katika maeneo yenu kuna wakuu mbalimbali wapo, lakini hakuna anayekanusha kwamba hiyo picha siyo ya leo, kwamba hiyo hospitali au hilo eneo sasa hivi liko kwenye hali hii na ikapigwa picha ikaingizwa kuondoa ule upotovu uliofanywa, sijui tunaelekea wapi. Kwamba mpaka aje Rais na Mawaziri wasimame wakanushe wakati mnaozuliwa hiyo hali mpo, hii siyo sawa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
 
Kamuita nani na account ni yake?🌚
Yaani mimi pia ilipa wakati mgumu kutambua kuwa ni nani ana address hii taarifa nilipoona account name na jinsi tukio linavyo tolewa taarifa. Kwamba kama mtoa taarifa anamtolea taarifa mheshiwa mwingine?
Ikiwa account ni yangu napaswa tu kusema "nimeshiriki, nimefanya....." Lakini siyo ......mh Nhinawe ameshiriki au amefanya...... Kwanza kwa Matumizi ya lugha ya kujitambulisha inatia ukakasi. Lakini kama ni kwa lengo la kuji-brand, kujikweza, pengine........!!!
Sijui mwalimu To yeye anasemaje juu ya jinsi hii ya utambulisho; ingawa yeye ni wa mathematics.😄🤦🏃
 
🤣🤣 aiiiii, ila sishangai chawa upo kazini, aendelee kujiita hivyo tutaona nini kinafuata hasa ukizingitia ni Mbunge kiazi
mimi siwezi kubabaika na narratives ambazo ni useless ati sijui nyumbu ama chawa, ambazo kwakweli hazina athari kwenye siasa za Tanzania..

Tukipewa nguvu na serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,

Mh. Ummy Mwalimu anafanya kazi nzuri sana pale Tanga, na kwakweli hata mh. Tlaatlaah anatekeleza majukumu yake mazito kwa weledi na ufanisi mkubwa kwa manufaa na maslahi mapana ya wananchi wote Tanzania 🐒
 
Back
Top Bottom