LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umechukua jimbo la Jukwaa la Siasa?
hili ni jukwaa na shule ya wadau wa masuala ya kisiasa. Ni darasa tosha la maana na muhimu mno, ikiwa mtu anataka kujifunza na kuongeza uelewa na ufahamu wake juu ya masuala ya kisiasa nchini

hili sio Jimbo gentleman 🐒
 
Tupunguze sasa wivu mwingine sio kwa hio unataka afutwe uheshimiwa aitwe tu kawaida?
Watu au mtoa mada hamaanishi katika kuona wivu. Tusiharibu dhana ya mleta mada. Inawezekana wewe umejibu kutokana na majibu au hoja za wachanguaji, kwamba hujasoma ile screen shot. Nenda kasome ile reporting system uone ni account ya nani na ni nani anatoa taarifa. Mleta thread ana hoja kufuatia namna ya mwenye account alivyoripoti tukio.
Hatuna wivu naye. Yeye bado ni mheshimiwa. Lakini hivyo ndivyo inapasa kujitolea taarifa. Otherwise amwachie msaidizi wake amtolee taarifa kupitia account yake huyo msaidizi; itapendeza.
 
Anapenda ukubwa Sana. Kuondolewa uwaziri kumemshusha Sana. Hapo angeandika Leo nineshiriki matembezi ....ingependeza Sana.
 
Alitenguliwa ubunge? Huenda kuna kitu unakikosa katika hoja yako
Mtoa mada yuko sahihi,kwa sisi wataalam wa lugha huwezi kujipa salutation mwenyewe.mfano huwezi kusema my name is Mr Mdukuzi,utasema my name is Mdukuzi,ila mtu baki yuko sahihi kuniita Mr Mdukuzi
 
Ukurasa wake anaemeneji ni mtu mwingine wa Ofisi yake kwa hio lazima amuite muheshimiwa ulitaka amuite vingine kibarua kiote manyasi?
Mkuu una uhakika account yake inakuwa managed na mtu mwingine?
Siku atakayolishwa matango pori katika account yake ndiyo atajua!!!
 
Mtoa mada yuko sahihi,kwa sisi wataalam wa lugha huwezi kujipa salutation mwenyewe.mfano huwezi kusema my name is Mr Mdukuzi,utasema my name is Mdukuzi,ila mtu baki yuko sahihi kuniita Mr Mdukuzi
Still bado atabakia kua muheshimiwa
 
Unamiss the whole point, kunywa maji usije ukapaliwa na mate, aitwe na wengine wanaoona anadeserve kuheshimiwa, usijifanye hujaelewa nilichoweka
Mkuu usiumize kichwa, huyo anaelewa ulichomaanisha, ni uchawa tu unamsumbua.
Ajiulize, ikiwa mwenye account anajitolea taarifa hivyo!! Je! Waandishi wa habari wataandikaje?
 
Hivi mbunge akiwa anaokea rushwa na kuiba Mali ya umma, bado anaendelea kua muheshimiwa?
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Wivu wa kibwege
 
Wewe ndio umetafsiri tofauti.hata wewe ukitaka kujiita mheshimiwa kwenye level ya familia yako unaweza kujiita tu bila kuathiri jambo lolote.
Tatizo lenu wengine mnajibu tu kutokana na comments za watu bila kusoma mada yenyewe. Elewa mtoa mada hana tatizo la mwenye account kuitwa mheshimiwa, hii imetokana na jinsi alivyoripoti mwenye account mwenyewe. Anamsemea nani? Kama ni yeye mwenyewe, hivyo sivyo inavopasa kujitolea taarifa.
 
Back
Top Bottom