LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nashukuru na mimi nna nchi zangu kadhaa nkiwa kitandani wifi yenu ananiita Mhe MANDINGO SPIDER
 
Tupunguze sasa wivu mwingine sio kwa hio unataka afutwe uheshimiwa aitwe tu kawaida?
Unamiss the whole point, kunywa maji usije ukapaliwa na mate, aitwe na wengine wanaoona anadeserve kuheshimiwa, usijifanye hujaelewa nilichoweka
 
Si bado ni mheshimiwa?au hutaki tu ajiite hivyo mkuu?
 
Ni wewe ndio umuaddress hivyo, Mh. Tlaatlaah, sio wewe useme mimi Mh. Tlaatlaah 😹😹🤣🤣🤣 huko ni kuelekea kupata wazimu kwa lack of attention
ni jambo la kawaida sana kujiadress mwenyewe kulingana na status yako,
mathalani hata mimi baadhi ya wananchi hunisema wapendavyo kwamba mh. Tlaatlaah yuko hivi au yuko vile, na kwakweli ni uhuru na haki yao kusema hivyo..

hata hivyo mimi mwenyewe ni mh.Tlaatlaah🐒
 
W

Wa Yombo Dovya!
 
Wanaokutolea mapovu hawajaelewa hoja yako wamekurupuka tu wakidhani unamnanga ummy wao
 
ni jambo la kawaida sana kujiadress mwenyewe kulingana na status yako,
mathalani hata mimi baadhi ya wananchi hunisema wapendavyo kwamba mh. Tlaatlaah yuko hivi au yuko vile, na kwakweli ni uhuru na haki yao kusema hivyo..

hata hivyo mimi mwenyewe ni mh.Tlaatlaah🐒
🤣🤣 aiiiii, ila sishangai chawa upo kazini, aendelee kujiita hivyo tutaona nini kinafuata hasa ukizingitia ni Mbunge kiazi
 
Back
Top Bottom