LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

Kero yako hapo ni ipi?
 
Wakuu,

Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?

Hapo Ubunge umeshikiliwa kama roho , akichaguliwa tena na wananchi ni kujipanga kulamba miguu mwakani asimkwanze atakayekuwa amekalia kiti hadi arudi kwenye uheshimiwa pendwa! Ni huzuni!

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!

Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!

====

Pichani ni mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Agosti 5, 2024 akishiriki matembezi ya umoja wa vijana wa CCM wilaya ya Tanga yenye lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024, ambapo alijiunga katika matembezi hayo kuanzia kata ya Nguvumali mpaka Majengo
 
Muheshimiwa ni anayejiheshimu,ana utu,mtetezi wa haki na upendo.Bila hivyo ni kibaka sugu.
 
Alitenguliwa ubunge? Huenda kuna kitu unakikosa katika hoja yako
 
Si ana haddler wa account za mtandao wake, nani kakuambie kwamba kaandika yeye?
 
Si ana haddler wa account za mtandao wake, nani kakuambie kwamba kaandika yeye?
Na nimeaddress hilo pia, soma chawa acha makasiriko na kukurupuka
 
Unanikumbusha mbali kuna siku moja diwani aliingia eneo nnalotolea huduma bila taarifa, ikabid nimtoe ofisin sababu huduma yangu inahitaji privacy kwa wateja wangu, japo kwa mbinde ndio alitoka maana aligomea flani sasa jamaa akaenda nishtaki kwa wakubwa zake eti nmemvunjia heshima mbele ya wananchi wake, baadae aniambia "naitwa muheshimiwa ....., nafikir utakuwa hunifahamu" nikamjib ningekuheshimu kama ungeheshimu ofisi yangu, jamaa hadi leo ana hasira na mimi.
 
Huyo si ni mh.mbuge lakini?🐒
 
Mkuu sio wote huwa wanapitia, mwenyewe juzikati tu hapa kuna mzee aliniomba nimsaidie kazi, ilipokamilika nikamtumia, baada ya wiki akaenda kuwasilisha kwenye kikao. Kumbe hata hakuwahi kupitia nashangaa ananipingia simu nimsaidie kufafanua kilichoandikwa kwa boss wake.
 
Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…