Angeipeleka kwenye jukwaa la lugha. Nadhani ni sanaa ya lugha tu, sio ishu ya kuanzishia uziMtoa mada yuko sahihi,kwa sisi wataalam wa lugha huwezi kujipa salutation mwenyewe.mfano huwezi kusema my name is Mr Mdukuzi,utasema my name is Mdukuzi,ila mtu baki yuko sahihi kuniita Mr Mdukuzi
Mbona alishatenguliwa na hakuweweseka ?Wakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimina msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?
Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!
Kwa Bongo waheshimiwa ni hawafiki watano. Kwa haraka haraka ni Mh.Mbowe na Mh. Lissu
Achana na nyumbu kiongozi, watakupotezea muda.Kero yako hapo ni ipi?
relax bas gentleman, tuliza mihemko mungwana,
hao si makamanda wa Chadema gentleman?Kwa Bongo waheshimiwa ni hawafiki watano. Kwa haraka haraka ni Mh.Mbowe na Mh. Lissu
waliokurupuka kumshambulia mleta uzi walikua wanakomenti bila kujipa tafakari ya kuelewa. sasa inatia mashaka akili za watu wetu ikiwa suala dogo kama la mleta uzi wameshindwa kuielewa hoja yake wakizidiwa na mimi F4 ya King'oriNadhani mleta mada anamaanisha, huyu ndg. Mwalimu kaandika kana kwamba kamuandikia mtu mwingine!
Labda alipaswa ndg. Ummy aandike hivi, "Leo nimeshiriki matembezi...."
Ni namna yake ya kujibrand,hakuna tatizo hapoWakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimina msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?
Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!
Na mwandishi wa habari aliyeambatana naye kwenye msafara/tukio huo/hilo ataripoti vipi mkuu?Ni namna yake ya kujibrand,hakuna tatizo hapo
Mhe au mbunge wa wilaya Fulani TangaNa mwandishi wa habari aliyeambatana naye kwenye msafara/tukio huo/hilo ataripoti vipi mkuu?
Kabisa cute wifeMheshimiwa Utajua wewe 'uheshimiwa' upo tu muhimu fanya kwa nafasi yako vizuri kila mtu atakuheshimu
hawa mabos wengine ni vipengele, unakuta kuandaa report ya kazi aliyoagiza ifanyike hawezi, bado unamuandalia ile kupitia tu aone kama kuna sehemu za kufanyia marekebisho au kujua umeandika nini kabla hajaenda kwenye kikao hafanyi hivyo sababu tu anamuamini muandaaji.😹😹😹 huu ni uzembe tena wa hali ya juu Mkuu, wala si bahati mbaya kwa huyo aliyeenda present... kwa Ummy yeye ni public figure lazima ajue nini kinaenda huko duniani kuhusu yeye, anaweza kuwa na mtu wakufanya hivyo au anaweka mwenyewe, sehemu ile ni sensitive sababu inabeba pia utu wake, asipokuwa anaangalia siku litaenda boko kweli kweli abaki uchi
Swadaktaa! Yaani hiyo akaunti ni ya Ummy hivyo alitakiwa atumie nafsi ya kwanza umoja umoja yaani "mimi" badala ya nafsi ya pili "yeye".Nadhani mleta mada anamaanisha, huyu ndg. Mwalimu kaandika kana kwamba kamuandikia mtu mwingine!
Labda alipaswa ndg. Ummy aandike hivi, "Leo nimeshiriki matembezi...."
Hayo ni matunda yanayo tokana na viongozi walio pata uongozi kwa kutumia tobo zao mbili za chini na si akili zao vichwani.Wakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimina msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo?
Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji, waogope mno kutokuwajibika kwa wananchi, tuna watu useless wanaokuja kuita Rais Mungu!
Wananchi amkeni turudishe mambo sawa, sisi ndio serikali!
Jiite na wewe uridhike kama unaona ni rahisi.Wakuu,