Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA




Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba-Mizengo Kayanda Pinda-Waziri mkuu wa Tanzania
 
Haya yote yanafanyika na mkuu wa kaya anayaangalia tuu?
 

Kesi ya nyani umpe mgedele ,tulishajua wote mafisadi.jk wakati anaingia ikulu aliahidi kukamata mafisadi lakini ninauhakika miaka kumi itaisha hamna hata mmoja atakaekamatwa inasikitisha sana
 
Sikutegemea kwamba angefanywa lolote,hasa ukizingatia hali halisi ilivyo Tanzania.
 
Kwenye ccm hakuna kiongozi anaefungwa... Wote ni mafisadi ila wanazidiana dili tu!
 
Hivi ile kesi ya mramba imeishia wapi? Hiyo ndo Tz...
 
Hiyo ndo dpp....
Iko chini ya ofisi ya Raisi unategemea nini...
Idd simba ni best wa Jk..
 

Duuh..
 
Nimesoma na kurudia mara mbilimbili lakini sijashangaa; siwezi kushangaa kwa sababu hakuna cha kushangaza.
Kisidumu Chama Cha Mapinduzi!
 

Kama CCm itaendelea kubaki madarakani hakuna hata mmoja atayefungwa sana sana wakiwafungulia mashitaka ni changa la macho tu.kesi za kuchongwa ndio zinapewa kipaumbele za ukweli zinafutwa maskini wengi waliobambikiwa kesi ndio wamejaa magerezani lakini watu waliohujumu uchumi tena live kama Idd Simba leo hii wako huru na wanafanya hivyo kwa kuwa ni mapanya walipokonyana so kama angapatikana na hatia basi wengekuwepo wengi tu so walikaa chini na kuona hapa tuipige chini hii kesi kwa Tanzania tu hii inawezekana na si kwingineko
 
Kwanza kosa la Uhujumu Uchumi, huwa halina dhamana, sasa nilishanga hata watu hawakushtuka baada ya hawa watu kupewa dhamana. Watanzania tulipaswa kuichukulia ile Dhamana waliyopewa kama red flag.
I saw this coming

kwani dhamana yao ilikuwa sh..ngapi??
 
They don't care and in case of anything they will fly to europe, wote wako na gold reserves akihitaji kuwa na liquidity anauza kipande kidogo maisha yanaendelea. Hawatafanya kosa alilofanya mke wa rais wa tunisia kwenda benki kuu kulazimisha kupewa dhahabu asepe wakati hali ishakuwa tete, JK na wahuni wenzie wote kila mmoja yuko na matofali ya dhahabu ndani kikunuka wananyooka moja kwa moja wanawaachia moshi wa mabomu na umwagaji damu.
 
Fuatilieni uraia wa DPP ndio mtajua kwanini hana uchungu na nchi hii? Sisemi mengi hata pia kuna msaidizi wake pia si raiya wa nchi hii lakini TISS wanapeta wakifikiri nchi iko salama.
 
DPP akili yake nina Shaka nayo,weledi wake pia ninahofu nao. Elimu yake nayo naitilia Shaka mno! Kwa mabilioni yaliyoibwa UDA alafu ufute kesi kiulaini hivi ....you must be kiding!.
 
hv huyu jamaa vp? Mbona hata aogopi Mungu? Kwel hata akina mramba na yona wataachiwa tu...kwa mfano mramba ana miliki...kibo complex tegeta, kibo palace iliyoko arusha, na palace hotel, alafu anatumia majina ya watu hawa awafai kabisa nchi imeuzwa
Kwakwel nchi imefikia pabaya sana kwamba kila mtu achukue chake mapema
 
Analinda mkate wake. Hii kesi isingeishia kwa Simba tu.......! DPP anawaweza kina "Lwakatare" tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…