Kesi ya kuhujumu uchumi na kuisababishia UDA hasara ya Sh. bilioni 8.4 dhidi ya waziri wa zamani Iddi Simba na wenzake imefutwa kwa amri ya DPP.
Source: Breaking News kutoka MWANANCHI
My Take:
Nikiangalia jinsi kesi ilivyokuwa na ukweli kwamba imefutwa na DPP, inasisitiza kile ambacho kimekuwa kikipigiwa kelele: DPP yupo pale kwa maslahi ya makundi fulani na siyo maslahi ya taifa.
Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba-Mizengo Kayanda Pinda-Waziri mkuu wa Tanzania