Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Watawala wa africa wangetamani mahakama zisiwepo ili watawale kama machief wa zama zile, utawala wa sheria kwao wanaona kama unawabana, angalia Congo, Uganda, kwetu hapa, Rwanda, sasa Kenya, Burundi ni same story. Walau kenya wamethubutu kuwa na katiba inayoeleleka ingawa still hili si dawa ya ukandamizaji wa muhilili wa mahakama.
 
This is Africa bwana. Uhuru a pure African boy. Kenya a country in Africa.
 
Ndo hila bob huwa hazimuachi mtu salama. Yule mkurugenzi wa IBEC nani alimuua?
 
Authoritative speech...ilikuwa lazima achimbe mkwara kidogo.

The Great Gatsby
 
WATU WENGINE HUMU MNAMPA UHURU MISIFA YA KIJINGA...UHURU NI CHUI ALIYEVALIA NGOZI YA KONDOO....
 
WATU WENGINE HUMU MNAMPA UHURU MISIFA YA KIJINGA...UHURU NI CHUI ALIYEVALIA NGOZI YA KONDOO....
 
Baada Jaji Mkuu Maraga na jopo la majaji wa Supreme Court kufuta matokeo ya Uchaguzi ya Raisi,Uhuru Kenyatta na William Ruto wameonyesha kupata mchecheto wa Maamuzi hayo kiasi cha kuwatishia Majaji hao Maisha jambo ambalo halikubaliki popote Duniani.Mahakama imetekeleza wajibu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…