Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Na kwa hasira alianza kampeni mara tu baada ya majaji hao kutoa hukumu hiyo. Tume ya Uchaguzi bado haijatoa tarehe ya kuanza kampeni za duru hili la marudio. Yeye kaanza, kitu ambacho ni uvunjifu wa sheria ya uchaguzi na dharau kwa tume yao ya uchaguzi. Ni wazi kabisa kuwa ana hasira na mahakama hiyo ya juu pamoja na hiyo tume ya uchaguzi inayoitwa IEBC. Halafu nyumbu wa Tz wanataka tukajifunze mambo hayo ya Kenya.
 
Ngoja waje waleeeee....'ameandika tundu lisu.......'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Uhuru Kenyatta amekuwa muungwana sana. Baba yake alikuwa noma. Mzee Jomo Kenyatta alikuwa hachelewi kutukana 'kum@mayo' wapinzani wake. Ukitaka kumsikiliza, Google 'shukran ya punda ni mateke jomo kenyatta'.
 
Atleast amejitahidi "kuzuga" basi. Mbn sisi hta kuzuga tumeshindwa mkuu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi wew unajua Mwai kibaki ni nani kwa Kenyatta ? kwa taarifa yako Mwai kibaki ni baba yake uhuru wa kiroho aliemsimamia uhuru ubatizo, hivo kukubali kushindwa na Mwai ni sawa, ni mtu na baba yake+kabila moja, na alijua baada ya mwai narudi pale , lakini ni kupoteza muda na wakati kujidanga kuwa uhuru anaweza akakabidhi madaraka kwa odinga, ni ndoto. Upo Kenya ,nimekuwa Kenya miaka mingi zaidi ya 11 yrs na nikatoka hivyo naijua Kenya na namjua uhuru tofauti na ufikiriavyo.
 
he has a point. kama mashine zilezile zilihusika kwa ma governors, na rais, kwanini rais tu ndio aonekane kutumbuliwa na magavana waonekane walipata kihalali? hilo swali linahitaji majibu.
 
Yeye awatishie majaji kuwachunguza huku wakenya watampiga chini, mimi nadhani hawa majaji hata kwa mungu wametimiza kazi yao waliyotumwa ya kutenda haki kwa kuzingatia haki za binadamu na utawala wa sheria so hata mungu atawalinda zidi ya watu waovu kwao na kazi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru kalazimishwa kuzingatia demokrasia na historia, mgawanyiko wa kikabila Kenya na kesi ya ICC tu. Si kwamba kapata muamko saaana. Africa matatizo yetu yale yale kote.

Tunaomsifia Uhuru si kwamba hatujui hayo.Ila ingewezekana kabisa awe kichaa zaidi na kusababisha mauaji.
 
Kwa wale wafuatiliaji wa kina (sio wababaishaji) wa masuala ya siasa mnajua siku moja baada ya mahakama ya juu ya Kenya (Supreme court) kutengua matokeo ya urais nchini Kenya vioja gani vinaendelea.

Anayesemekana ndio mshindi wa urais mhe. Uhuru kenyata ameapa kwamba iwapo atashinda tena uchaguzi was urais lazima achunguze mwenendo wa tume kuu ya majaji wa supreme court na kuifumua tote.

Pia wakati mwingine amenukuliwa akisema kuwa kuna harufu ya rushwa kwa majaji wakuu waliofanya maamuzi ya kufuta matokeo ya urais na kukataa kafanyika mabadiliko ya makamishna watume ya uchaguzi (IEBC)

Ikumbukwe kuwa odinga ameendelea kuwa mhanga wa mchakato huu kwani kaapa kususia uchaguzi iwapo tume haitarekebishwa.

Nini maoni yako kwa mwenendo wa kauli za kubadilika za mheshimiwa rais Kenyata
 
Kwa maoni yangu Uhuru Kenyatta hakutegemea kushindwa kortini... amefoka siku mbili mfululizo...
 
Yap UHURU yuko sahihi tena sana... Gharama za uchaguzi ni nyingi ni bora kurudia kuhesabu kura zote kuliko kurudia uchaguzi wote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dear all,
Sometimes this kind of leaders confuse us a lot, how come you start creating environments of fears trembling other leaders who are there constitutionally?. They have forgotten that it is their constitution which they voted for some couples of years ago. As a present, what kind of image are you creating to all Kenyans when you speak those kind of remarks to the supreme court?. Here, the president is showing total disrespect to the supreme court, and creating an environment haterate between the government itself and judicially which are independent pillars of the nation.

By trying to analyse president's remarks, it look like something went wrong with Kenyatta's side as it is clearly explained by KCB scandal on trying to bribe the judge to favour his side. Having failed on the use of power of money to secure victory in court, now these guys are becoming the enemy of the supreme court, and they are now starting terrifying all the judges who come with the decision of nullifying Kenyatta's victory. Nevertheless, I can see Msando's blood is strongly speaking indeed, if these guys were behind with his death, it is with no doubt that they are going to fail.

Besides, I heard one day Kenyatta wishing all the best to Odinga if the court will judge in favour of his side, he insisted not dare to increase the salaries of the Kenyan lawmakers, and correct me if I'm wrong my friends. Surprisingly, with my own ear and eye, I have heard and seen the contradicting statements from Kenyatta.

Lastly, these guys should respect the supreme court's decision, and if they will continue terrifying them, this statement will be true "we are still having an illusion-type of democracy in Africa".

All the best and goodnight,
K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…