Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

"...........wacha niseme kwa HASIRA kidogo lakini kwa Amani......"

mmmhhhh
 
Trump wanamuendesha puta eti alimtisha mkuu wa FBI angeyasema haya saa hizi angekuwa jela:

 
Kule kuna kazi sana
Maana NASA wanaenda Mahakamani kutaka IEBC ifutwe
Jubilee wanataka Uchaguzi wiki 4 zijazo

Baada ya siku 60 serikali ya Mseto
Hebu rudia. Hivi ni kweli baada ya siku 60 serikali ni ya mseto?
 
Ungefuatiliaa kesi pamoja na uchaguzi mzima usinge mlaamu Uhuru , huyu CJ katoa hukumu ya ovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
ukomo wake ni mpka pale rais mteule au mpya tumwite anapo apishwa
 
Je unauhakina na Uhuru kuongezewa kura ?? Je aliongezewa kura ngapi ?? Mbona hawakurudia kuhesabu hizo kura ?? CJ AMECHEMSHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unauhakina na Uhuru kuongezewa kura ?? Je aliongezewa kura ngapi ?? Mbona hawakurudia kuhesabu hizo kura ?? CJ AMECHEMSHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kwamba integrity ya uchaguzi ikiwa questionable materially mshindi hahitaji kuwa kaongezewa kura ili uchaguzi kuwa declared null and void?

Unaelewa maana ya "justice must not only be done, it must also appear to be done"?

Sent from my Kimulimuli
 
Mkuu kuajiriwa na kamati maalum haimzuii Kenyatta kuwafukuza kazi.Anaweza ku-collude na hiyo kamati unayosema na wakafukuzwa kazi.Rais wa nchi sio mchezo mkuu,he is just too powerful.

Mkuu maneno kwamba "Maraga atamtambua kwamba yeye ni nani" ni too far reaching and dangerous kwa taifa na sijui kwa nini state institutions na dunia iko kimya.This guy deserves to be behind bars,he just cannot do and say what he wishes!Huku ni kutishia maisha, kwa hiyo ni wazi kwamba kuna jambo baya analopanga kumfanyia Maraga na hivyo hata kutishia amani ya Kenya kwa ujumla.

As I said Maraga na wenzie wakimbie mapema,vinginevyo Chris style.Most African leaders are just too barbaric and can never be trusted for anything.

Hayo ya kwenye "capital letters" mkuu hayana hata circumstantial evidence kwa hiyo hakuna hata haja ya kuya address.
 
Maiti mwenyewe boya wewe, hujui kitu afu unajifanya mjuaji, nyumbu mnakera.
Na usirudi bongo, usiwe maiti, uishi milele huko huko.
 
Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Huenda anamaanisha kwamba, hizo siku 60 akisema hakuna hela maana bajeti ya uchaguzi imetumika USD 500m huenda ikawa the same. Siku 60 zikipita ni tatizo LA kikatiba inamaana atakuwa sitting prez na majukumu kama kawa....food for thought

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…