Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
🚮🚮Tatizo kila wakati macho yake mekundu kama mlevi na mvuta bangi.
Faida ya kukulia ikuluKama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.
Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.
Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.
Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.
Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.
Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.
AsanteKama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.
Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.
Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.
Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.
Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.
Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.
Kwanini unasema kwamba ni vigumu kuamini kwamba UK ni mkenya?Namkubali pia huyu jamaa, very civilized, ni vigumu kuamini kama ni Mkenya
Bado. Umemsikiliza Ruto lkn? Ametema cheche za kufa mtu wakati akimpiga biti UhuruKafanikiwa Sana kuwaunganisha wakenya...ukabila wa visasi na chuki umepungua Sanaaaa ...wakikuyu vs wakalenjini umeisha and wakikuyu wajaluo saiv wanaungana Sana kwa Mambo mengi ..it's good move and mchango wake ni mkubwa Sana ..ingawa ukabila Kenya kuisha ni Safari ndefu ila kafanya kwa kiwango kikubwa kuwaunganisha
Hivi ukipenda chongo huona kengeza,kumbe ni kweli.Uhuru hata Mimi namkubali Sana ila kusema amemteua Raila kugombea urais ,hapana.Kwanza wako vyama tofauti na Uhuru yeye anamuunga mkono tu siyo kwamba kamteua.Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.
Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.
Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.
Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.
Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.
Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.
Muda mwingi utotoni alikuwa pembeni mwa baba yake na Marais wote wa Kenya na ujana kaulia State kwa Papa Biden kwa hiyo yeye haya mambo ya usisahau Mimi ndiye rais anaona ni ushamba.Namkubali pia huyu jamaa, very civilized, ni vigumu kuamini kama ni Mkenya