Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.
Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.
Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.
Lakini atakachokumbukwa zaidi ni kumteua Raila Odinga kugombea Urais Kenya.
That is a MILESTONE.
Kwa nchi iliyozoea ukabila wa wazi wazi, ameanza safari kuwaunganisha waKenya kuwa Taifa moja lisiloona kila kitu kwa miwani ya UKABILA.
Nampongeza sana Uhuru Kenyatta kwa hilo na waKenya wenzetu muungeni mkono.