MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Unamzungumzia Odinga huyu ambaye baada ya kupata pesa za handshake akawatosa kina Kalonzo, Wetangula na Mudavadi akaenda kuwa Rafiki wa Uhuru Kenyatta Fisadi namba moja Kenya?? Tax exemption kwenye Makampuni ya Familia ya Kenyatta wakati wa Serikali ya Handshake Raila aliongea nini?? Sakata la KEMSA lililohusisha kina David Murathe na maswahiba wa karibu wa Raila/Uhuru msimamo wa Raila juu ya Sakata hilo ulikua upi?? Raila ni mfanya biashara ya Siasa, kila serikali ikiingia madarakani huwa anataka kuwa sehemu ya serikali ili kulinda Maslahi yake binafsiUnamuonaje Odinga? Serikali ya umoja wa kitaifa ndio ilikuwa efficient kuliko serikali yoyote Ile katika history ya Kenya.
Odinga asingelea mafisadi, angenyoosha ujinga ujinga wote na mabadiliko yangeonekana. Kumbuka karua ni makamu wake na rekodi yake ya usafi Haina shaka.
Wakenya walichagua fisadi na nilisema humu kuwa watajuta kabla hata ya 2024!! Yakwapi Sasa matumizi ya serikali yamezidi Yale ya uhuru at the same time ufisadi umezidi wa uhuru.
Ruto is a failure