Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

Unamuonaje Odinga? Serikali ya umoja wa kitaifa ndio ilikuwa efficient kuliko serikali yoyote Ile katika history ya Kenya.

Odinga asingelea mafisadi, angenyoosha ujinga ujinga wote na mabadiliko yangeonekana. Kumbuka karua ni makamu wake na rekodi yake ya usafi Haina shaka.

Wakenya walichagua fisadi na nilisema humu kuwa watajuta kabla hata ya 2024!! Yakwapi Sasa matumizi ya serikali yamezidi Yale ya uhuru at the same time ufisadi umezidi wa uhuru.

Ruto is a failure
Unamzungumzia Odinga huyu ambaye baada ya kupata pesa za handshake akawatosa kina Kalonzo, Wetangula na Mudavadi akaenda kuwa Rafiki wa Uhuru Kenyatta Fisadi namba moja Kenya?? Tax exemption kwenye Makampuni ya Familia ya Kenyatta wakati wa Serikali ya Handshake Raila aliongea nini?? Sakata la KEMSA lililohusisha kina David Murathe na maswahiba wa karibu wa Raila/Uhuru msimamo wa Raila juu ya Sakata hilo ulikua upi?? Raila ni mfanya biashara ya Siasa, kila serikali ikiingia madarakani huwa anataka kuwa sehemu ya serikali ili kulinda Maslahi yake binafsi
 
Kuna shida gani kuwapa Odinga, Uhuru na chama chake wizara, majukumu kuhusu kujenga nchi.

Wao watakuwa accountable Kwa wizara husika. Mfano uwape wizara ya Fedha au mipango. Wao ndio watawajibika kujibu hoja za wananchi.
Huo ni upumbavu kwanini iwe lazima wapewe wizara. Nini maana ya uchaguzi mkuu sasa, si wangekuwa wanaamua kugawana wizara wale wagombea?
Unaenda kwenye uchaguzi unashindwa alafu unataka upewe wizara, huyo Odinga kila serikali yeye tu ndiye anataka apewe madaraka. Hayo ni matakwa binafsi na hayapo kikatiba
 
Raila ni mtu asiyetaka kuwa Rais ila anataka katika kila serikali awe na share yake ili isiwe rahisi ku trace ufisadi wake. Raundi hii amekutana na Vyuma akiruka huku anakutana na Riggy G akienda kule anakutana na Rutto lazima atatii
 
Unamzungumzia Odinga huyu ambaye baada ya kupata pesa za handshake akawatosa kina Kalonzo, Wetangula na Mudavadi akaenda kuwa Rafiki wa Uhuru Kenyatta Fisadi namba moja Kenya?? Tax exemption kwenye Makampuni ya Familia ya Kenyatta wakati wa Serikali ya Handshake Raila aliongea nini?? Sakata la KEMSA lililohusisha kina David Murathe na maswahiba wa karibu wa Raila/Uhuru msimamo wa Raila juu ya Sakata hilo ulikua upi?? Raila ni mfanya biashara ya Siasa, kila serikali ikiingia madarakani huwa anataka kuwa sehemu ya serikali ili kulinda Maslahi yake binafsi

Nadhani haujui siasa za Kenya, Odinga has never been after money labda POWER maana kama ni pesa Mzee Jaramongi alikua na matrillion kawarithisha so hahitaji siasa kupata pesa.

Kingine kina Musyoka aliwatosa sababu hawakuwepo siku anaapishwa so akaona ni mzigo hawana ujasiri kama aliokua nao yeye. So aliwatosa sababu hiyo sio pesa Wala Uhuru.

Kingine kwenye mambo ya KEMSA au NYS alikaa kimya hadharani sababu alikua partner wa Jubilee so obvious mnaongelea backstage sio hadharani maana platform ya kukosoana ipo.

Ni hivi, Ruto ni junior kwa Raila na nimeshakupa mfano wa serikali ya umoja wa kitaifa ilipaa sana kiuchumi sababu ya Raila factor halei ujinga, hata Ruto alitimuliwa uwaziri wa kilimo na Odinga sababu alikua fisadi anayewaza Urais tu badala ya kufanya kazi.

Tutarudi hapa december kilo ya sukari ikiuzwa elfu 13 ya Tanzania ndio utaelewa kuwa jamaa ni total failure.
 
Raila ni mtu asiyetaka kuwa Rais ila anataka katika kila serikali awe na share yake ili isiwe rahisi ku trace ufisadi wake. Raundi hii amekutana na Vyuma akiruka huku anakutana na Riggy G akienda kule anakutana na Rutto lazima atatii
Hahahaha Riggy G ndio wakupambana na Raila? Hahhaha get serious. Huyo Riggy G anaogopa Raila akikaa mezani na Ruto ndio amekwisha hivyo.

Kama ambavyo Moi, kibaki, na Kenyatta wali surrender kwa Odinga. basi Ruto naye ndio anakoelekea otherwise itakua migomo na maandamano yasiyoisha
 
Hiyo ni hoja, zaidi ya hapo hakuna visingizio sijui wagawane madaraka sijui handshake.
Hakuna mahala Odinga ameomba handshake, mbona kwa Kenyatta Kulikua na handshake ila hakupewa madaraka yoyote?

Aache kutafuta huruma huyo Ruto ni wazi nchi imemshinda, ni either aiunganishe Kenya au aendelee kuipeleka shimoni.
 
Hahahaha Riggy G ndio wakupambana na Raila? Hahhaha get serious. Huyo Riggy G anaogopa Raila akikaa mezani na Ruto ndio amekwisha hivyo.

Kama ambavyo Moi, kibaki, na Kenyatta wali surrender kwa Odinga. basi Ruto naye ndio anakoelekea otherwise itakua migomo na maandamano yasiyoisha
Endelea kusubiri mkuu
 
Nadhani haujui siasa za Kenya, Odinga has never been after money labda POWER maana kama ni pesa Mzee Jaramongi alikua na matrillion kawarithisha so hahitaji siasa kupata pesa.

Kingine kina Musyoka aliwatosa sababu hawakuwepo siku anaapishwa so akaona ni mzigo hawana ujasiri kama aliokua nao yeye. So aliwatosa sababu hiyo sio pesa Wala Uhuru.

Kingine kwenye mambo ya KEMSA au NYS alikaa kimya hadharani sababu alikua partner wa Jubilee so obvious mnaongelea backstage sio hadharani maana platform ya kukosoana ipo.

Ni hivi, Ruto ni junior kwa Raila na nimeshakupa mfano wa serikali ya umoja wa kitaifa ilipaa sana kiuchumi sababu ya Raila factor halei ujinga, hata Ruto alitimuliwa uwaziri wa kilimo na Odinga sababu alikua fisadi anayewaza Urais tu badala ya kufanya kazi.

Tutarudi hapa december kilo ya sukari ikiuzwa elfu 13 ya Tanzania ndio utaelewa kuwa jamaa ni total failure.
Niko bar nitakujibu asubuhi kwa ufasaha
 
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.

Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.

Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
huna akili.
 
Haya mambo ya Uongozi ni magumu Sana Hata ukistaafu basi utaandamwa tu mimi ndio sababu Nampongeza Sana mzee Mwinyi Ruksa alipostaafu tu alikimbilia Msikitini na kujikita na mambo ya muumba tu

Nchi jirani ya Kenya Rais Ruto anampelekea moto Boss wake mstaafu Uhuru Kenyatta na kuizongazonga familia yake akiwemo mama na mtoto wake

Uhuru kamtolea uvivu Ruto kwa kumwambia amkamate Yeye asizungukezunguke tu na kuwasumbua Wanawake na Watoto

Kupitia Citizen TV Uhuru ameonekana alimwambia Ruto kwamba kuanzia sasa atailinda familia yake kwa gharama yoyote ile

Duh.... Ukiona kwako kunafuka Moshi just kwa mwenzako moto unawaka

Mlale Unono 😃
Aisee!
 
Huo ukatili wa Upanga kwa Upanga ulishapitwa na wakati hata waarabu wa zama hizi hawatembei na Majambia kama enzi za Utumwa!
Acha kuwa naive bro, kuendesha nchi, sio black and white, sometimes you have to do the unthinkable for the greater good,
Unafikiri kipindi cha kikwete, Dr Ulimboka alingolewa meno na kutupwa mabwepande na panya roads? Au Kama bado unadhani Tundu Lisu alipigwa risasi na suma jkt! Bado hujakomaa,
 
Anayeleta figisu ni jaluo,Odinga.

Huyu inabidi awe "eliminated"covertly,kimya kimya,kwa sumu tu au ajari ya kutengeneza,sio kwa shaba kama ilivyokua kwa Lissu
Hayo yanawezekana kwenye nchi yenye katiba mbovu kama hapa kwetu.
 
Robert ouko, JM kariuki, Holace kolimba, Imran kombe, Dr Omary Juma,
Hawa wote waliondolewa Clandestanily, na wasiojulikana.
Political assassination ni tool muhimu na inatumika Sana na idara za, kijasusi za nchi mbalimbali, Ulaya, America mpaka Afrika.
Je ilisaidia kutuliza mambo
 
Tuliokuwa tunafahamu na tunasema kuwa katiba mpya hata iandikwe vipi siyo mwanzo au mwisho wa matatizo hatukueleweka.

Kudai katiba mpya ni turufu tu ya upinzani uliokosa sera. Kwa sababu katiba inaweza ikabadilishwa kidogo kidogo vifungu vikaongezwa au vikapunguzwa au vikarekebishwa.

Waafrika tu wajinga sana na hatutafikia mwisho wa ujinga kwa muda mrefu sana. Ujinga tulionao siyo wa asili ni wa kupandikizwa na huo ni mbaya zaidi kuliko ujinga wa asili.
Tuseme ukweli. Wewe ni mjinga sana. Ninakushauri uende haraka kwa Mwamposa akakuombee upunguze kiwango chako cha ujinga.
 
Huo ni upumbavu kwanini iwe lazima wapewe wizara. Nini maana ya uchaguzi mkuu sasa, si wangekuwa wanaamua kugawana wizara wale wagombea?
Unaenda kwenye uchaguzi unashindwa alafu unataka upewe wizara, huyo Odinga kila serikali yeye tu ndiye anataka apewe madaraka. Hayo ni matakwa binafsi na hayapo kikatiba
It called proportion representative government. Hata kama haiko kwenye katiba serikali makini itaangalia maslahi ya makabila yote, dini zote, kanda zote, wazee, vijana, wanawake na walemavu.

Sioni sababu ya kuwaita wananchi wenzako wapumbavu sababu umeshinda ndani ya margin of error. Ingeweza kwenda upande wowote. 51%/49% sio sababu ya kudharau 49%, nusu ya wananchi wako.

Mifumo ya kimedokrasia tumepewa lakini tunaweza kujiongeza pia.
 
Kujiongeza sio lazima, haipo kikatiba na ni matakwa ya mtu binafsi. Wakati huohuo ni kulea ujinga kila mtu akishindwa uchaguzi anataka sijui ugatuzi, handshake, serikali ya pamoja na mambo ya kijinga kama hayo alafu asipohusishwa ananuna na kuandamana makusudi ili avuruge amani. Hiyo sio tamaa?

Hiyo 51% to 49% unayoona ni ndogo bado ipo kikatiba. Kwahiyo tuseme Wakenya walikosea walivyoandika katiba na kuweka kipengele hicho? Kwamba wangeandika ni lazima mahindi awe amepata zaidi ya 60% au kitu gani? 51% aliyopata Rais ipo kikatiba. Angeipata Odinga kama ni ndogo.

Mambo ya kugombea ukiwa na targets mbili ni wizi, ya kwanza ushinde Urais au ukikosa option ya pili uandamane ili upewe nafasi ya uongozi na kutajwa kwenye vyombo vya habari. Sio lazima, subiri uchaguzi mkuu ukishinda ukae na wapinzani mgawane wizara. Kama ndio staili yako
 
Back
Top Bottom