Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237

-Hakubaliani na Maamuzi ya Majaji
-Amesema anaheshimu Maamuzi ya Majaji
-Awataka Wakenya Kudumisha Amani ya taifa hill
-Achukizwa na Maamuzi ya Watu 6 (Majaji)
-Yupo Tayari Kurudia Uchaguzi
-Hajabadili msimamo wanaenda tena kwa wananchi kuomba Kura.
 
Mugabe aliwahi kusema,... mtu yeyeto ambaye anamiliki pesa, majeshi ni yake, polis n wake, mahakama n zake, bunge n lake, tume ya uchaguz n yake, mamlaka n yake halafu eti ameshndwa n kitu cha kushangaza... hivi odinga akishnda knwy uchaguz wa pili s utajuta milele?
 
Inaita nadhani umemaliza kumbe ndio Kwanza safari inaanza

Hapa anajua kanisa ngoma mzigo waachane na computer zipige tena kura.

Moyo unamuuma maana alidiriki hata kutoa roho za watu loooh
 
Inaita nadhani umemaliza kumbe ndio Kwanza safari inaanza

Hapa anajua kabisa ngoma mzigo waachane na computer zipige tena kura.

Moyo unamuuma maana alidiriki hata kutoa roho za watu loooh
 
Inamtia ghadhabu anadhani amemaliza kumbe ndio kwanza safari inaanza

Hapa anajua kabisa ngoma mzigo waachane na computer zipige tena kura.

Moyo unamuuma maana alidiriki hata kutoa roho za watu loooh
 
Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
 
Nipenda kenyetta alivyoshinda lkn nimependa zaidi Mahakama ya juu ya Kenya kwani itatupa funzo kubwa sana km sio Afrika basi dunia nzima kua kunahaja ya kusikiliza sauti hata za wanyonge huwenda zikawa Na maana flani naira wapinzani wantonge kwani Mara nyingi mnyonge no mtuu aliyesikilizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ukiwa MCHUMIA TUMBO WA KUTUPWA NA SHABIKI MKUBWA wa ukandamizaji wa haki unaofanywa Tanzania , ikiwamo uporaji wa haki za wazanzibar na kusigina katiba kunakofanywa na viongozi wa ccm , Umejifunza nini kuhusu Democrasia hii iliyotukuka kutoka Kenya ?
Majaribio ya Lowassa kuiba Kura yamekwama kwa Mara ya Pili baada ya 2015 kukwama
 
Mugabe aliwahi kusema,... mtu yeyeto ambaye anamiliki pesa, majeshi ni yake, polis n wake, mahakama n zake, bunge n lake, tume ya uchaguz n yake, mamlaka n yake halafu eti ameshndwa n kitu cha kushangaza... hivi odinga akishnda knwy uchaguz wa pili s utajuta milele?
hawezi juta ndio demokrasia yenyewe kwani nchi ni yake

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Back
Top Bottom