Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Hawa NASA warudi zao mwezini tuu maana naona kama wajaluo wanajisumbue vile kugombea..... kampeni za kenya ni zaidi ya maneno ya kwenye majukwaa
 
Sijui Sizonje atajisikiaje?? [emoji276] [emoji276]

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
and its done.....what next for NASA??Still waiting..........
Odinga was this his last chance???nobody knows................
will he contest next time???lets wait.............
 
."Napenda kuwashukuru Tume ya Uchaguzi kwa kazi waliyofanya, wamefanya kadiri walivyoweza. Asanteni sana." – Raisi Uhuru Kenyatta
 
Sijui Sizonje anajisikiaje huko? [emoji276] [emoji276] [emoji276]

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
sasa mbona kila sehemu anaongoza Odinga huyo kenyata kashindaje sasa?
 
Hongera kwake, Raila akalee wajukuu tu astaafu siasa. Akileta za kuleta atamjoin Bagbo bure. Na uzee huo. Peace i prevail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…