Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo kwenyu kukoje na ccm?Wakikuyu wameibinafsisha Kenya kuwa mali yao. Mnh..
Jamii zenye tabia ka za hawa wakikuyu hazifai kutawala..ubinafsi wa kupindukia..
Kupo sawa tu. Karibu.Na hapo kwenyu kukoje na ccm?
Wacha achukue kosa kubwa ni RAO kuchukua maneno ya wabongo wasio na shule kwamba atafanya kama baba yake zero brain. Kumbe kule kwao ni Wasomi wanachuja kabla.Uhuru Kenyata apeta kura za urais,ambwaga mbali mpinzani wake Ndugu Raila Ondinga.
Safindiyo
Sidhani kama ni hivyo. CCM ndio sasa wamepata baraka za kuiba kura 2020 na Ukawa itabidi washangilie huo wizi kama wanavyomshangilia Uhuru. Habari ndio hiyo.Hili ni pigo kwa CCM
![]()
![]()
![]()
========
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati aemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa kiti cha Urais.
Rais Mteule Uhuru Kenyatta kutoka Chama Cha Jubilee ametangazwa kuwa Mshindi baada ya kupata kura 8,203,290 huku mpinzani wake Raila Odinga kutika Muungano wa Upinzani(NASA) akipata kura 6,762,224.
Uhuru Kenyatta amepata asilimia 54.27 ya kura zote pia ni sawa na asilimia 25 ya kura za kutoka katika Kaunti 35.
Kwa kura zilizopigwa nje ya Kenya Uhuru Kenyatta amepata 52.88% huku Raila Odinga akipata 46.45% ya kura, na Nyaga 0.07%.
- Nairobi County, Uhuru: 48.55% Raila: 50.85%, Nyaga: 0.18%. Total votes: 2,251,929.
- Kisumu County, Uhuru:1.96% Raila: 96.64%, Nyaga: 0.27%. Total votes: 539932.
- Homabay County, Uhuru: 0.49% Raila: 99.34%, Nyaga: 0.11%. Total voters: 496432.
- Chebukati: Siaya County, Uhuru: 0.66% Raila: 99.11%, Nyaga: 0.14%. Total votes: 459957.
- Kilifi County, Uhuru: 15.12% Raila: 83.63% Total votes: 32783.
- Busia County, Uhuru: 12.42% Raila: 86.82%, Nyaga: 0.31%. Total votes: 351087.
Chebukati: Tumejifunza mengi kwenye uchaguzi huu ambayo yataimarisha uwezo wetu. Nawashukuru watu wa Kenya, washika dau wetu wa kwanza. Wafanyakazi wetu nchi nzima na familia zao.
- Bungoma County, Uhuru: 30.21% Raila: 68.3%, Nyaga: 0.49%. Total votes: 559886.
- Vihiga County, Uhuru: 9.12% Raila: 89.39%, Nyaga: 0.59%. Total votes: 272217.
Kwa waangalizi wa kimataifa, tunawashukuru kwa kutuunga mkono, Uchaguzi wa 2017 ulikuwa wa haki, tunawashukuru waangalizi kwa ripoti zao za awali. Tunawashukuru kwa uvumilivu wakati tunatoa matokeo kwa hatua.
Wapiga kura waliongea tarehe nane mwezi wa nane na sasa tuko tayari kusema walichoamua.
Nimeambiwa matokeo yanatakiwa kusainiwa, asanteni kwa kuniskiliza na nitarejea kutangaza matokeo.
--------
Mawakala wameshasaini fomu za matokeo na sasa mwenyekiti Chebukati anaweka sahihi kwenye fomu ya matokeo. Hatua ya sasa ni mwenyekiti kuendelea na kutangaza matokeo.
--------
Chebukati: Naomba mniruhusu niendelee na hotuba yangu, kwa mujibu wa nguvu zilizowekwa kwangu na katiba, naomba niwatangazie matokeo.
======
President Uhuru Kenyatta has won a second term in office, garnering 54.2 per cent of votes, according to final results declared by the electoral commission on Friday night.
Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairman Wafula Chebukati declared Mr Kenyatta the winner of the presidential race at exactly 10.17pm EAT.
“He attained 25 percent of votes cast in 35 counties ” Mr Chebukati, the returning officer of the presidential election, said at Bomas of Kenya— the national tallying centre, in the capital Nairobi
The announcement was met with celebrations in the strongholds of Mr Kenyatta’s party, Jubilee, and protests amongst some Nasa supporters.
Hehe, hii meme ni mwoto sana! Kweli hiyo suspense ya Chebukati ilikuwa too much! 😀Hii ni breaking news kweli? Kenyans were like..
View attachment 563564