Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Raila ataenda kuapishwa chattle

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
At least Kenya wamefanya uchaguzi sio kama walivofanya Rwanda uhuni mtupu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Wakikuyu wameibinafsisha Kenya kuwa mali yao. Mnh..
Jamii zenye tabia ka za hawa wakikuyu hazifai kutawala..ubinafsi wa kupindukia..
Sasa utasemaje kwa jamii ya Shona inatawala Zimbabwe na Jamii ya Tigrinya inayotawala Ethiopia? Sisi waMeru hawa waKikuyu ndio cousins wetu wa karibu sana na wana mifano mingi sana inafaa kuigwa.I'd rather be led by dynamic ,hardworking people anyday.Nashangaa sana unasema ubinafsi wa waKikuyu lakini huoni ubinafsi mkubwa wa kupindukia wa Raila Amolo Odinga.
 
Hongera sn mheshimiwa rahila akavue. Sasa
 
Huku kitaa wanadai UhuRuto wamemshinda RAO sababu ya kuungwa mkono na Mmsai mmeru na eti Chadema wamechangia ushindi wa Jubilee kwa sehemu kubwa.Chadema na Mmasai mmeru wao kwa sifa hawajambo ,wao tu wako hoi halafu eti ndio wamemfanya Uhuru ashinde,kazi ipo ma wamaufipa
 
Odinga amegombea na kushindwa hii ni mara ya tatu. Magu kawabana huku, mmeamua kujiconsole na kushindwa kwa Raila. Nyumbu kweli mmeishiwa.
No,no hapana hii ni mara ya nne - 1997 ,2007 ,2013 na sasa 2017 ameshindwa tena.
 
Sijui Sizonje atajisikiaje?? [emoji276] [emoji276]

Sent From Kisana Kiki Iphone
Shauri ya lenyewe, nyoko! Watu wanaleta ujinga kwa nchi za watu! Asante YESU kwa kutuokoa! UHURUTO Pigeni kazi wadau wetu!
 
Kenya imegawanyika vibaya, yaani kwenye County moja mtu anapata hadi 96% na anayemfuatia 3%! Mungu atusaidie Tanzania tusifike huko.

Vv
 

Jpm chali
 
Odinga ni ka Lowasa au Lipumba. Anakomaa wee kupata urais ila all the time anashindwa.
Congrats Uhuru. Amefanya kazi nzuri last term ngoja amalizie alichokianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…