Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

najua kwamba nmg ni mali ya aga khan, aga khan ni shia muslim, rostamu ni muirani shia muslim, umeipata hiyo connection? au unafikiri hayo yote yametokea tu na yoyote mwenye fedha angeweza kununua nmg?bado umelala usingizi ...
Huyo jamaa umueleweshe polepole mkuu. Ana kichwa kizito. Sidhani kama anafahamu Ristam ni muIran.
 
Elewa somo kwanza kabla ya kukurupuka kudandia treni kwa mbele. Wewe unadhani gazeti la Rostam linaweza kuipinga CCM au kuikosoa serikali ya wauaji?
1. Kwanza hakuna serikali ya wauaji
-mbona wewe haujauliwa na upo mtandaoni kila siku na watu wanakufahamu vzr?

2. Hakuna siku ccm na serikali yake ilikataa kukosolewa
Na kama kufanya vurugu, na kuharibu miundo mbinu ndo ukosoaji basi we have a long way to go.

3. Hii serikali ni sikivu na ipo busy kuwaletea wananchi maendeleo. sasa nyie endeleeni kutukanana mitandaoni mtazinduka dk za jioni.
-sijui utawarithisha watoto wako matusi ya mitandaoni.
 
Mwanahabari wa kitambo Pascal Mayalla sema neno.
 
Serikali ya CCM ina mbinu nyingi za kishetani na michakato ya ushetani wake huanzia mbali sana. Wewe unadhani mchakato wa kuwaua Ben Saa8, Mdude na Polepole ilichukua muda mfuPi au mrefu?
 
Unaleta uchawa then pathetically unawaambia watu wake kimya, so undoubtedly this topic causes itches in your butt-hole.
Hivi mnadhani mnauwezo wa kunyamazisha kila mtu, muda wowote na sehemu yoyote no wonder as irrelevant as you are shamelessly you think you have that authority hata humu JF.
 
Rostam kuwa na "media power house" sio afya sana kwenye media industry. 😁

Columnists wajiandae, The East African linakuwa linaangazia biashara zake tuu. Kama media za Bashe. 😊
Wenye Fedha na Idea ya mambo hayo ndo kuwekeza huko kwa sasa
 
Wenye Fedha na Idea ya mambo hayo ndo kuwekeza huko kwa sasa

Ni kweli fedha anayo, lakini hatujasahau alituibia ishu ya scandalous Richmond deal, he had swindled and pocketed millions of taxpayer's money. Yeye na Lowassa.
Ndio anazitakatisha sasa, ndio maana hutasikia forbes, Fortune Magazines wanamtaja Rostam kama self-made bilionea. 😁
 
Mkuu mimi nmejibu hoja yako ambayo wewe umesema kuwa wenda mmiliki wa mwananchi ametishiwa...nkaja na hyo hoja kuwa mmiliki wake siyo mtanzania na ni mkenya anaye miliki kampuni kubwa huko kenya..mwananchi ikiwa ni product tu iliyopo tanzania.
 

Wana mtandao at work!
 
This allegation has never been proven in any court of law. It’s mere sham!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…