Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

Serikali ya CCM ina mbinu nyingi za kishetani na michakato ya ushetani wake huanzia mbali sana. Wewe unadhani mchakato wa kuwaua Ben Saa8, Mdude na Polepole ilichukua muda mfuPi au mrefu?
Acha kubuni buni mkuu
Acha kelele, nithibitishie hapa kuwa ben, mdude na pole pole wameuawa na serikali..
Unaweza thibitisha bila hisia?
 
Acha kubwatuka
Onyesha hapa ushiriki wa ccm na serikali kwa rostam kununua NMG kutoka kwa agha khan

unless unachokiandika ni love story
 
Acha kubuni buni mkuu
Acha kelele, nithibitishie hapa kuwa ben, mdude na pole pole wameuawa na serikali..
Unaweza thibitisha bila hisia?
Wewe unadhani wakosoaji wa serikali wanauliwa na nani mkuu? Au unawaua wewe?
 
Kumbe lowasa alikuwa fisadi halafu makamanda mkamleta kugombea urais?

Takataka kabisa!
 
Acha kubwatuka
Onyesha hapa ushiriki wa ccm na serikali kwa rostam kununua NMG kutoka kwa agha khan

unless unachokiandika ni love story
Waambieni bwana zenu hao mnaohangaika kuyapaka rangi mavi yao kwamba watafute watu wenye akili kidogo, this shit here is far beyond your scope.
So literally it's like you never heard of the term 'pattern' or rather the term 'inferential nature'.
 
Yes hii ndo akili wanataka kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…