Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Mlianza suala la udini mkatolewa knockout sasa mmekuja kutisha wakosoaji rudini nyuma wambieni hao DP WORLD huo mkataba waTanzania wameukataa warudi tena mezani tuweke mkataba mzuri tuwape fursa wananchi watoe maoni yao ndo tusinye
"Huo "udini" ndiyo nini na umeanzishwa wapi ma nani?
 
Wewe mwenyewe huna ustarabu katika kutoa maoni yako. Una maneno ya dhihaka kwa wengine na ubaguzi wa waziwazi wa kidini. Wewe ni mdini sana. Sidhani kama una audacity ya kusahihisha wengine.
Weka ushahidi. Wacha porojo.
 
Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?

Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Wewe ulikuwa wa Kwanza kuleta lugha za kejeli Kwa kuwaita waliopinga mkataba hawajatahiriwa na kafiri. Hiyo lugha ilikufurahisha wewe na uliowalenga? Ilikuwa inaleta Umoja Kwa muono wako?
 
Serikali na Bunge batili hawakuchaguliwa na Wananchi waliyo wengi (rejea hoja za presser ya kwanza ya Dr. Slaa kuhuhus mgogoro wa DP World). Siyo huyo mvaa ushungi, Waziri Mkuu, na Wabunge. Ni genege la Majambazi na Wahaini na lazima tuite a spade for what it is.
 
Wewe ulikuwa wa Kwanza kuleta lugha za kejeli Kwa kuwaita waliopinga mkataba hawajatahiriwa na kafiri. Hiyo lugha ilikufurahisha wewe na uliowalenga? Ilikuwa inaleta Umoja Kwa muono wako?
Weka ushahidi.
 
Serikali na Bunge batili hawakuchaguliwa na Wananchi waliyo wengi (rejea hoja za presser ya kwanza ya Dr. Slaa kuhusu mgogoro wa DP World). Siyo huyo mama lao mvaa ushungi, Waziri Mkuu, na Wabunge na yule mama kinyago mpingo wa bungeni. Ni genge la Majambazi na Wahaini na lazima tuite a spade for what it is.
 
PUMBAVU. Bandari zetu zote kuuzwa kwa faida ya watu wachache si uvunjifu wa amani???
 
Sawa kabisa, kila mmoja wetu ana maoni yake, na ni vizuri kwenye maoni tusijumuishe, uweke huyo mwana siasa na alichokifanya ambacho wewe hukioni sawa, ndiyo nguvu ya hoja.

lakini kutukana na kuchochea kwa lugha za maudhi kunajenga au kunabomoa?
Hao unaowaona wanahatarisha amani Leo, walipoleta hoja zào walijibiwa na wa upande wako kwamba ni WAPOTOSHAJI, uliwahi kukemea Hilo neno?
 
Mpaka nimechoka kurekebisha. Ume panic sana ungemwambia mtu akuandikie. Pia Elimu ni kitu kizuri. Watu wenye elimu zao wanakosoa na wanaeleza Mkataba wa Chief Mangungu wa Msovero haufai Karne hii. Na ndo unaonekana umuhimu wa kuwa na Maraisi wasomi maana hali ni mbaya. Ule mkataba mtu mwenye Elimu hata ya form four ambaye ana ufaulu mzuri hawezi sign.
 
Hili la Udini tulilileta wenyewe tulipoanza kumtetea kwa misingi ya Udini. Wakati shida si kufanya kazi na DP World shida ni mkataba wa Kichief Mangungu wa Msovero alioingia Chief Hangaya.
 
Wazanzibar chonde chode mali za Tanganyika ni za watanganyika wenyewe vizazi na vizazi kama Mwalimu alivyoziacha mali na sisi tutawaachia vitukuu vyetu. Sasa ni hivi fanyeni yote sawa ila kwa hili la kumuuzia mwarabu bandari zetu tena kwa mkataba wa milele aisee mtatusamehe, hatutakubali.

Onyo
: Na nyie watanganyika wenzetu aka machawa wa kuigalaliza Tanganyika yetu muache mara moja, siku zenu zinahesabika, punde tutawaweka kwenye list ya aibu - majina yenu, vijiji mlivyotoka, koo zenu na familia zenu kwamba nyie ndiyo adui number moja wa Tanganyika yetu.

Lazima tuheshimu Uhuru wetu wa mwaka 1961, Uhuru maana yake ni kujitawala; mali zote ni lazima ziwe mikononi mwetu na si kwa wageni.
 
Maoni hayawezi kumpendeza Kila mtu, la msingi ni serikali kutoa ufafanuzi Ili kuondoa sintofahamu. Shida anapokosolewa mtu wa dini Fulani hatuyaoni mapungufu yake ila tunakimbilia kusema anasemwa sababu ni .......... au Mzanzibari. Watu wanauchungu na nchi yao. Maneno makali ni msisitizo wa kiile ambacho hawataki kifanyike.
 
Yaani watu wauze nchi yetu halafu tukae kimya, hiyo haiwezekana na kama mtu unataka uheshimiwe kwanza jiheshimu wewe na kwa maoni yangu hayo matusi ni kidogo tu inatakiwa wapigwe mawe kila wanapoonekana
 
Tulieni kwanza ili 💉 dawa iwaingie. Ilikuwaje hamkuamua kuwauzia hao ndugu zenu Waarabu bandari zenu za Zanzibar? Na badala yake mkaona muwauzie bandari zetu za Tanganyika?

Na kama mlikula hela zao, mtazitapika kudadek zenu.
 
Good! Ili jukwaa lijiridhishe kua wewe hujaleta hbr kiuchawachawa ni vzr uainishe hayo matusi, kejeli, maudhi, yaweke ili tujiridhishe!!!
Kasome huu uzi, tazama post #5 kwenye huo uzi.
 
Kumbe na Lake Ports??
Nilijua ni vipande baadhi tu vya Bandari ya Dar Es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…