Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Kwanza kumbuka, mimi ni Mtanganyika kuliko wewe. Nimezaliwa Tanganyika, kabla haijawa Tanzania. Naitafuta sana Tanganyika yangu siioni.

Nenda mahakamani ukalalamike, hapa hatujaona bandari iliyouzwa.
Watu wa ovyo wanashabikia mambo ya ovyo. Wewe umeamua kushabikia jambo hili kwa sababu aliolifanya ni muislamu na kwasababu kuna wajinga wametia udini ktk jambo hili. Acha kuchabikia ubaya kwasababu tu limefanywa na mwislamu na watu kutia udini
 
Uliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni? Lakini kutoa maoni kwa njia ya matusi, kejeli kwa viongozi, dharau hiyo si njia sahihi za kutoa maoni. Kumbuka inapoishia haki yako ya kutoa maoni ndipo inapoanzia haki ya mwingine.
Ukiwa kiongozi lazima upate kejeli, ukowa hutaki kejeli basi usiwe kiongozi
 
Uhuru ukiuwekea mipaka ni vitisho.Mpaka Sasa hoja za wananchi wazalendo hazijibiwi; kwa nini?Kitu kilichofanywa kwa nia njema na ukweli hakiwezi kukosa majibu
 
Wewe ulikuwa wa Kwanza kuleta lugha za kejeli Kwa kuwaita waliopinga mkataba hawajatahiriwa na kafiri. Hiyo lugha ilikufurahisha wewe na uliowalenga? Ilikuwa inaleta Umoja Kwa muono wako?
Ushahidi wa kauli za kuudhi za FaizaFoxy ziko nyingi tu humu. Halafu anasema weka ushahidi!! Huna lolote wewe mama. Wengi humu wanakuita Jihadist kwa udini wako. Wengine tunaogopa hata kukutana na wewe uso kwa uso, maana tuna wasiwasi na uvumilivu wako kwa mtu wa dini tofauti na wewe.
 
Hii ni hofu
 
Huyu mama ataiacha tz iliyogawanyika sana
 

Kisa unatamani wachukue bandari ndo uje hapa kutisha watu!! Kama umeishiwa hoja usitishe watu!!
 
Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?

Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Mbona hata wewe una maudhi sana. Kuwaita Wakristo Wagalatia kwako ni neno la Kistaarabu eeeh. Tuache na Tanganyika yetu tafadhali.
 
Kila mtu ana jambo lake ki maslahi, likiguswa atalalamika.

Jambo la DP World lina maslahi pande tofauti. Kila upande usikilizwe.

Hakuna kuona hawa ni hawa, wale ni wale...
Hilo jambo ndilo linahitajika kujengewa msingi wa hoja lakini shida inatokea pale upande mwingine unapokosa kutumia staha na lugha shawishi ndicho kinachozungumzwa hapa
 
Umeongea jambo la msingi sana
 
Mbona msukuma mwenzenu alikuwa anaua watu
 
Toka uanze mjadala wa DP world, umekuwa na makosa mengi ya kiuandishi.

Mfano Uzi huu una makosa zaidi ya 10, na wewe ilikuwa kinara wa kuwarekebisha watu wanaokosea.

Kuhusu DP world sina cha kuongeza wala kuongeza, mtavyokubaliana ndio hivyo hivyo
Ameshakula vya haramu,amepoteza umakiji Kwa kuwa hajiamini tena
 
Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?

Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Wanaojadili kwa staha ndiyo wanao onekana wanafujo zaidi, sababu wanaleta hoja ila zinajibiwa kwa mihemko na matusi, wakirejeshewa same like ndiyo wanaonekana wanataka kuleta cosovo, how?
 
Nenda kamwambie mama yako ikulu kuwa aachie vyombo vya usalama,unamwambia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…