saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
kwa hiyo haijui mahakama? Toa hilo kamasi la upumbavu km ana ushahidi angeenda mahakamani, Tundu ni mzushi anaweka data za kupika mpuuzi yule.Nenda pale kwenye twitter ya Lisu ameweka ushahidi namna kula zilivyoibiwa pale kawe kwa Halima. Acha ujinga
we nyumbu umeusoma? Au unafuata tu mkumboWewe mkataba usio na kikokomo unaona sawa??? nenda kale urojo hukoo
we kweli zwazwa, tofautisha matusi na ukweli. Hata hivyo hayo matusi yenu hayatabadilisha kitu.Ukweli siku zote huwa unauma.
Kuna kubwa jinga umelisahau kila utakachomwambia mara sijui abdusyks nan cjui, sijui redio TehranHao ni kina bibi Faiza na babu The boss wao wanafikiri kwenye uislam zaidi kuliko hoja….,
Wao kila mwarabu wanaona ni ndugu yao wako radhi tumpe kila kitu
..
Naamini Uhuru wa kujieleza una mipaka yake kisheria.
Sifa za uongo uongo hata mimi siapatani nazo, hata za kweli zikizidi inakuwa ni karaha.Kama hampendi Samia asemwe kwa maneno makali basi pia msipende anapopewa sifa za uongo uongo na za kujipendekeza.
Cut both ways.
Taahira wewe chukua time bandari za tanganyika ni mali ya tanganyikawe nyumbu umeusoma? Au unafuata tu mkumbo
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...Haakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mapa kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni vunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka.
Mtu anajiita mwanasheria msomi au wakili msomi , mwanasiasa, anasimama kwenye majukwaa ya habari na kurusha matangazo yaliyojaa chuki kuwa nchi inauzwa, au bandari inauzwa, Wazanzibari waniuza nchi. Na cha kushangaza sana waziri wa habari amekaa kimya. Waziri wa sheria amekaa kimya. Waziri wa mambo ya ndani amekaa kimya, waziri wa ulinzi amekaa kimya.
Nashauri, vyombo vya habari vyote vinavyorusha matangazo ya chuki vichukuliwe hatua kali za kisheria. Wale wote wanaosimama majukwaani na kufanya uchokozi wa makusudi wachukuliwe hatua za kisheria.
Mpaka sisi tuliozowea mitandao ya kijamii tunawashangaa moderators wapo kimya, watu wanaporusha matusi na kejeli mpaka kwa Rais na mawaziri wake. Hivi hatuyaoni? Au tunapenda huu uchokozi uendelee mpaka uzae madhara?
Kuuwasha moto ni kwepesi sana, kazi inakuja katika kuuzima.
Mimi nadhani wale wote wanaodai nchi imeuzwa waende mahakamani au kwa wao kupeleka madai au serikali iwaite mahakamani waje kuonesha nchi imeuzwa wapi na kwa lipi zaidi?
Nahisi kuna watu wapo nyuma ya pazia amabao wanadhani labda yataishia kiwepesi wepesi yakiachiwa yaendelee. Sasa hivi tayari chuki za wazi zinajionesha kati ya Wasio EWaisslam na Waislam, wasio Waarabu na Waarabu, Wabara na Wazanzibari. watu wa pwani na wasio wa pwani.
Hivi hayo yote kweli yamesababishwa na makubaliano ya Dubai na Tanzania yaliyopitishwa bungeni au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia ambayo hatuyaelewi?
Tunaionmba serikali ichukuwe hatua za dhati, kila anaerusha au kuongea chuki akajieleze kwa ushahi wa hayo ayasemayo, kama hana ushahidi aseme ukweli ni na nani yupo nyuma yake anaemlipa au kumchochea kufanya hivyo.
Serikali itumie mbinu za kawaida na zisizo za kawaida za kiusalama ili kulinda raia wa nchi hii kujiingiza katika chuki na migogoro isiyo ya lazima. Huu ni mtego wa panya watania waliokuwemo na wasiokuwemo.
Naamini katika uwazi na ukweli na naamini katika uhuru wa maoni na habari, lakini kila uhuru ni lazima uwe na mipaka yake. Naona au Tanzania hatuna mipaka ya kujielezza maoni yetu aukama tunayo ama hatuijuwi au tunaiwachiie makusudi mipaka inavukwa?
Serikali, hususa Waziri wa habari, Nape Nnauye tueleze tupo bado ndani ya mipaka ya sheria au tumekiuka? Kama bado upo ndani ya mipaka ya sheria za uhuru wa maoni, tunaomba shertia zikafanyiwe ukarabati. Ili tuwe nchi yenhe kuheshimu utowaji mapni yetu uwe wa kuheshimiana.
Wewe kama hupendi nilichosema au kufanya mimi nifahamisheni usinitukane.
Moderators wa JF tunaomba majukwa haya siasa na habari mchanganyiko yapewe kipa umbele ili yasiwe ni chimbuko la maafa.
ukiambiwa ukweli wazanzibari wanaiuza Tanganyika,huo ni uchokozi.Hilo ni sawa kabisa, lakini si linatakiwa lijadiliwe kiamani, kila mwenye hoja aiseme hoja yake bila jazba wala uchochezi au kuomesha chuki kwa wengine?
Au wewe unaridhika na lugha za uchokozi (provoking) zinazowachiwa kutumika hivi sasa?
Umesoma matusi humu???we
we una maslahi yako binafsi na hiyo bandari? Maana umeng'ang'ani neno maslahi, utayapata kwa kupost matusi? Maana thread inahusu matumizi ya matusi, kingine hujaambiwa serikali imesitisha mipango yake ya kuendelea kukodisha uendeshaji wa bandari sasa hayo matusi yenu yanawasaidia nini. Tumia akili kufikiri badala ya makalio
Taifa sio watu ni kuni!!!!ki
kila mtu km nani, sisi tunaangalia maslahi ya Taifa hakuna maslahi ya mtu hapa na serikali ndiyo tumeikabidhi kusimamia maslahi ya Taifa.
Hapa hakuna mtihani, kusoma inahusu niniwe nyumbu umeusoma? Au unafuata tu mkumbo
ungeanza na sheikh ubwabwa Mwaipopo anayemtukana nguli wa sheri Tanzania na dunia kwa ujumla,Emeritus Prof.Shivji.Uliona kuna mtu au chombo chochote kimemzuia yoyote kutoa maoni? Lakini kutoa maoni kwa njia ya matusi, kejeli kwa viongozi, dharau hiyo si njia sahihi za kutoa maoni. Kumbuka inapoishia haki yako ya kutoa maoni ndipo inapoanzia haki ya mwingine.
Mkileta ucenge wenu tutawaua kweli, hamuwezi kutukana mamlaka mcheleweKwahiyo unataka na zanzibar mwenzenu nae aue watu?
atajibu tu moshi ushafukizwa shimoni,nguruwe lazima atoke.Samia kaingiaje hapa. Inaonyesha huyo ndiye target wala si bandari na kwa bahati nzuri mama wa watu kapiga kimyaaa, mnazidi kuumia. Mnatamani awajibu lakini ndo kwanza anaendelea na yake.
Hatutaki, uwe ni uwekezaji , makubaliano ya kudumu hatutakiHost Governmental agreement zina ukomo kwani ni mikataba ya utendaji kati ya wawekezaji na wazalendo.
Inter Governmental agreement iliyopelekwa bungeni haina ukomo lakini ile ni framework tu ya mkataba wa HGA unaotumika kibiashara.
Tushamwambia Samia kuwa hatutaki mkataba wake wa KIMANGUNGO na Waarabu kama anawapenda sana akawauzie mji mkongwe.Ni wapi ulipoona kuwa bandari inabifsishwa? Unajuwa labda wenzetu mna habari ambazo sisi hatuzielewi. Nini kilichokupelekea kusema bandari inabinafsishwa? Mimi sijaona wala sijasikia bandari yetu au etu kubinafsishwa.
Mimi nnachokielewa kuna kampuni inaitwa TICTS ilipewa mkataba kuendesha bandari ya makontena, lakini kwa miaka 22 haijafikia malengo na haijaleta vifaa ilivyosema italeta kuendeshea bandari kiufanisi, wakaambiwa waondoke, wameondoka sasa inataka kupewa kampuni ya DP World inayomilikiwa na Dubai ili waendeshe bandari yetu kwa mkataba ambao bado wanaelewana wataouingia baina ya DP World Na Tanzania Ports Authority.
Huko kubinafsishwa kuko wapi?