Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

Mkuu hivi umeisoma thd na kuielewa?

Mleta mada hajakataza watu wasitumie uhuru wao wa maoni bali ametaka wakati wa kutoa maoni,watu wasitumie lugha za kuudhi kama vile matusi,kejeli au kashfa ya udini coz hali hiyo inaweza kuleta madhara makubwa sana huko mbeleni.
matusi kwa mujibu wa nani?

Wanzazibari wanauza mali za Watanganyika hayo ni matusi?

ukweli haupigwi rungu.Samia ajitafakari akishindwa arudi Unguja akalee wajukuu.nchi imemshinda!
 
Tushamwambia Samia kuwa hatutaki mkataba wake wa KIMANGUNGO na Waarabu kama anawapenda sana akawauzie mji mkongwe.
Unamwambia makosa, diyo maana unajiumiza moyo bure. Hakuna "mkataba" wowote mpaka sasa, kuna makubaliano ambayo hayakuanzia kwa mama Samia, yalianzia kwa Magufuli, mama anendeleza kazi tu. Hatua inayofata ambayo wanajadiliana sasa hivi PTA na washauri wa mabo ya sheria na mambo ya biashara ndiyo itakuwa na mikataba, kingi tu, siyo mmoja.

Huo mkataba unaouongelea wewe uko wapi?
 
Hofu ya wanaopinga Dp World ni wote waliokuwa wananeemeka kw kupitisha mizigo bandarini bila kukaguliwa au kw kisingizio cha missionaries sasa wanatambua muarabu ataleta vifaa vya kubaini na kutambua vyote vinavyopita bandarini wanaona bomba linaenda kufungwa sasa hofu yao hiyo wanatumia nguvu kubwa kupinga uwekezaji huo.wapo tayari kutumia dini.ukabila na ukanda ilmradi kupinga tu.mimi nimeusoma mkataba vizuri tu hauna shida wala hamna mahali pameandikwa milele ila wao wana hofu Mama Samia anaenda kufungua nchi tuwe kama Dubai
 
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...

Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.

Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"

Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."

Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"

Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."

Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"

HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"

Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"

Lissu.
Hyo Tundu Lissu ni mchochezi, kuna walioliona hilo la kusema kwake hovyo kijinga, wkanyamazisha kwa muda. nahisi ilikuwa zake bado, Mungu ampe maisha marefu lakini asipotoshe watu.

Au ndiyi yale waliyosema wahenga? "sikio la kufa halisikii dawa"?

Mimi naamini kuna watu hawapendi kushindwa, wanajiuliza "tulishindwaje siku ile?"

Katika Agano la Kale, Mfalme Yoashi wa Yuda aliuawa na watumishi wake mwenyewe; 13 Yoabu akamuua Absalomu, mwana wa Mfalme Daudi; 14 Mfalme Senakeribu wa Ashuru akauawa na wanawe mwenyewe. [15]

Chanakya (c. 350-283 KK) aliandika kuhusu mauaji kwa undani katika makala yake ya kisiasa Arthashastra. Mwanafunzi wake Chandragupta Maurya, mwanzilishi wa Dola ya Maurya, baadaye alitumia mauaji dhidi ya baadhi ya maadui zake. [16]

Baadhi ya waathirika maarufu wa mauaji ni Philip II wa Macedon (336 KK), baba wa Alexander Mkuu, na dikteta wa Kirumi Julius Caesar (44 BC). [17] Wafalme wa Roma mara nyingi walikutana na mwisho wao kwa njia hii, kama walivyofanya maimamu wengi wa Shia wa Kiislamu mamia ya miaka baadaye. Makhalifa watatu mfululizo wa Rashidun (Umar, Uthman Ibn Affan, na Ali ibn Abi Talib) waliuawa katika migogoro ya awali ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Waislamu. Tabia hiyo pia ilijulikana katika China ya kale, kama katika mauaji ya Jing Ke yaliyoshindwa ya Qin mfalme Ying Zheng mnamo 227 BC. Wakati mauaji mengi yalifanywa na watu binafsi au vikundi vidogo, pia kulikuwa na vitengo maalum ambavyo vilitumia kikundi cha pamoja cha watu kufanya mauaji zaidi ya moja. Wa kwanza walikuwa sicarii katika 6 AD, ambao walitangulia Assassins Mashariki ya Kati na shinobis Kijapani kwa karne. [18][19]

Katika Zama za Kati, mauaji ya kimbari yalikuwa nadra katika Ulaya Magharibi, lakini ilikuwa mada ya mara kwa mara katika Dola ya Kirumi ya Mashariki. Strangling katika bafuni ilikuwa njia ya kawaida kutumika. Pamoja na Renaissance, mauaji ya kikatili-au mauaji kwa sababu za kibinafsi au za kisiasa-ilikuwa ya kawaida tena katika Ulaya Magharibi. [Maelezo ya lazima]

Soma zaidi: Assassination - Wikipedia
 
Taahira wewe chukua time bandari za tanganyika ni mali ya tanganyika
Mimi naamini wewe hata bandari huijuwi, unaisikia tu.

Kwa lugha yako hiyo, wewe huna chembe ya Utanganyika, Alhamdulilahi Watanganyika bado tupo hai, lugha za Kitanganyika tunazifahamu.

Umezaliwa mwaka gani? Wapi?
 
Unamwambia makosa, diyo maana unajiumiza moyo bure. Hakuna "mkataba" wowote mpaka sasa, kuna makubaliano ambayo hayakuanzia kwa mama Samia, yalianzia kwa Magufuli, mama anendeleza kazi tu. Hatua inayofata ambayo wanajadiliana sasa hivi PTA na washauri wa mabo ya sheria na mambo ya biashara ndiyo itakuwa na mikataba, kingi tu, siyo mmoja.

Huo mkataba unaouongelea wewe uko wapi?
Magufuli ndiyo alienda uarabuni kutengeneza hayo mnayoita makubaliano?si Samia alikuwa analala na kuamka uarabuni?mkiitwa wajinga msilalamike kwa sababu naona mnamlinda huyo mama.nauhakika Magufuli hajui chochote kuhusu huo mkataba nakuomba usimuingize Magufuli kwenye uozo wenu au mtaendelea kutukanwa tu.Haya lisu tena kauongelea huo mkataba ni Madudu kama hutaki kutukanwa au kusemwa acha kutetea Madudu.
 
..kila mtu anastahili heshima.

..pia viongozi wakifanya madudu wasitarajie kuambiwa kwa lugha za kubembelezwa.

..viongozi wawe na vifua vya kusikia ukweli na hisia za wananchi.

..hiki ambacho Samia anakiona ni matusi ndio hisia za wananchi kuhusu mkataba wa bandari.

..badala ya kuwalaumu wakosoaji Samia awashukie wasaidizi wake waliomuingiza ktk mkenge wa kusaini mkataba wa hovyo na DP World.

..pia Samia awakataze wahuni kama Steve Nyerere, Zembwela, Haji Manara, Sheikh Mwaipopo, Baba Levo,kuwa wasemaji wake kuhusu mkataba wa bandari.
Kwakweli !
 
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi na mijadala yako, kuhusu IGA tangu imeanza, unakuwa na jaziba hadi kutukana. Hiyo ni dalili ya kushindwa kujibu hoja, au nyuma yake una agenda binafsi?

Na wewe heshimu na AMINI UHURU WA KUJIELEZA (kwa kauli yako)
Weka ushahidi.
 
Unamwambia makosa, diyo maana unajiumiza moyo bure. Hakuna "mkataba" wowote mpaka sasa, kuna makubaliano ambayo hayakuanzia kwa mama Samia, yalianzia kwa Magufuli, mama anendeleza kazi tu. Hatua inayofata ambayo wanajadiliana sasa hivi PTA na washauri wa mabo ya sheria na mambo ya biashara ndiyo itakuwa na mikataba, kingi tu, siyo mmoja.

Huo mkataba unaouongelea wewe uko wapi?
huo mkataba wenye masharti ya hovyo hovyo ni kichaa tu ndo anaweza kusaini...in Magu voice.
 
Hyo Tundu Lissu ni mchochezi, kuna walioliona hilo la kusema kwake hovyo kijinga, wkanyamazisha kwa muda. nahisi ilikuwa zake bado, Mungu ampe maisha marefu lakini asipotoshe watu.

Au ndiyi yale waliyosema wahenga? "sikio la kufa halisikii dawa"?

Mimi naamini kuna watu hawapendi kushindwa, wanajiuliza "tulishindwaje siku ile?"

Katika Agano la Kale, Mfalme Yoashi wa Yuda aliuawa na watumishi wake mwenyewe; 13 Yoabu akamuua Absalomu, mwana wa Mfalme Daudi; 14 Mfalme Senakeribu wa Ashuru akauawa na wanawe mwenyewe. [15]

Chanakya (c. 350-283 KK) aliandika kuhusu mauaji kwa undani katika makala yake ya kisiasa Arthashastra. Mwanafunzi wake Chandragupta Maurya, mwanzilishi wa Dola ya Maurya, baadaye alitumia mauaji dhidi ya baadhi ya maadui zake. [16]

Baadhi ya waathirika maarufu wa mauaji ni Philip II wa Macedon (336 KK), baba wa Alexander Mkuu, na dikteta wa Kirumi Julius Caesar (44 BC). [17] Wafalme wa Roma mara nyingi walikutana na mwisho wao kwa njia hii, kama walivyofanya maimamu wengi wa Shia wa Kiislamu mamia ya miaka baadaye. Makhalifa watatu mfululizo wa Rashidun (Umar, Uthman Ibn Affan, na Ali ibn Abi Talib) waliuawa katika migogoro ya awali ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Waislamu. Tabia hiyo pia ilijulikana katika China ya kale, kama katika mauaji ya Jing Ke yaliyoshindwa ya Qin mfalme Ying Zheng mnamo 227 BC. Wakati mauaji mengi yalifanywa na watu binafsi au vikundi vidogo, pia kulikuwa na vitengo maalum ambavyo vilitumia kikundi cha pamoja cha watu kufanya mauaji zaidi ya moja. Wa kwanza walikuwa sicarii katika 6 AD, ambao walitangulia Assassins Mashariki ya Kati na shinobis Kijapani kwa karne. [18][19]

Katika Zama za Kati, mauaji ya kimbari yalikuwa nadra katika Ulaya Magharibi, lakini ilikuwa mada ya mara kwa mara katika Dola ya Kirumi ya Mashariki. Strangling katika bafuni ilikuwa njia ya kawaida kutumika. Pamoja na Renaissance, mauaji ya kikatili-au mauaji kwa sababu za kibinafsi au za kisiasa-ilikuwa ya kawaida tena katika Ulaya Magharibi. [Maelezo ya lazima]

Soma zaidi: Assassination - Wikipedia
wikipedia isn't a reliable source.
 
we kizee umekosa hoja sasa unawaza kumuua lissu. We mwenyewe kila siku kutukana watu humu
 
Unamaanisha Nini kutuwekea historia ya mauaji? Unadhani bado mpo zile Zama za kutuwekea video za mauaji ya kimbari wakati wa kampeni za uchaguzi kupitia itv? Wasikilizeni wenye nchi kwani hayo maendeleo na mapato ni yao. Kama hawayakubali Basi waacheni na shida zao! Mbona mmawalazimisha Kuna Nini nyuma ya huo mkataba?
Usitutishie kufa kwani hakuna atakayeishi milele!
 
Mimi naamini wewe hata bandari huijuwi, unaisikia tu.

Kwa lugha yako hiyo, wewe huna chembe ya Utanganyika, Alhamdulilahi Watanganyika bado tupo hai, lugha za Kitanganyika tunazifahamu.

Umezaliwa mwaka gani? Wapi?
Huna hoja hata moja zaii ya mihemko na upuuzi wa kike. Siyo lazima kila anayepinga awe "anaijua" bandari? Unajuaje kama siyo Mtanganyika? Wewe ni Afisa Uhamiaji? Umefilisika kabisa wewe muosha mavi na mpishi wa biriyani wa Waarabu. Mnawahusudu hawa viumbe kama miungu watu sababu ya Uislamu ndiyo maana wale Wapemba wawili wamewapa bandari zote Tanganyika, ukanda wote wa bahari wa mwambao wa Tanzania, anga, ardhi na mamlaka juu ya katiba bure kabisa!!
 
Unamaanisha Nini kutuwekea historia ya mauaji? Unadhani bado mpo zile Zama za kutuwekea video za mauaji ya kimbari wakati wa kampeni za uchaguzi kupitia itv? Wasikilizeni wenye nchi kwani hayo maendeleo na mapato ni yao. Kama hawayakubali Basi waacheni na shida zao! Mbona mmawalazimisha Kuna Nini nyuma ya huo mkataba?
Usitutishie kufa kwani hakuna atakayeishi milele!
Naona unafoka foka sana.

Shusha pumzi, tulizana halafu andika point moja tuijadili. Ukichanganya mengi inakuwa ni kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Unakubaliana na mkataba wa milele?, watumishi wa mule huwahurumii kwa kukosa ajira?. Binafsi siliungi mkono.
 
Sijauona huo "mkataba wa milele" au hata wa wiki moja, unao wewe? Au umesikia tu?
 
Mimi naamini wewe hata bandari huijuwi, unaisikia tu.

Kwa lugha yako hiyo, wewe huna chembe ya Utanganyika, Alhamdulilahi Watanganyika bado tupo hai, lugha za Kitanganyika tunazifahamu.

Umezaliwa mwaka gani? Wapi?
Wewe mtanganyika??? Unaukana uzanzibari hivi hivi kwa sifa za JF?… ungekua ni mtanganyika ungekua na uchungu na mali za tanganyika, matendo yako yanaonyesha unatokea kwa wale wachamba wima!
 
Back
Top Bottom